Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
- Jul 20, 2010
- 4,517
- 1,407
- Thread starter
- #321
Ulianza vizuri, ukaja kuharibu hapo mwishoni.Hii tabia kwa redio zetu za hapa nchini imekuwa ni sugu pale msanii anapofariki dunia ndipo nyimbo zake zinapigwa kwa wingi sidhani kama ni tabia ni nzuri kwani huongeza hudhuni kwa wafiwa na watu wake wa karibu.mimi binafsi tangu jana nilipokuwa nikisikiliza nyimbo zake kwenye radio huwa natamani kutokwa na machozi kutokana na uzandiki wa watangazaji wetu hawa na mapenzi yangu juu ya Mr.Ebbo.Kwani hata kama mkizipiga nyimbo zake kwa wingi na kuzifanya kuwa hit kwa mara ya pili hakuna faida yoyote kwa kuwa hawezi tena kupiga show kwa hits hizo mlizozitengeneza na watangazaji hawa wanashindwa kutambua kuwa kadri wanavyopiga nyimbo zake ndipo yeye(mr.ebbo) anazidi kupata mateso huko alipo(kwa imani yetu ya kidini).R.I.P MR.EBBO WE WILL ALWAYZ REMEMBER YOU
