TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

arusha napakubali ila akili za wana arusha wengi ndo zinanipa wakati mgumu kuzielewa!
 
Achana na Lema mmemponza Nepi leo anahangaika peke yake kutetea kitumbua tabia yenu haipishani na m/kiti wenu mnamtumia mtu mwisho mnamtupa kama mpira.

Mr Ebo, alikuwa sio Chadema mnauteka msiba wa Wamasai
 
Nasikitika kusikia hapa na leo habari ya kifo cha Mwanaharakati na mwanamziki EBO.
Mungu ailaze roho yake Malazi Mema - Amin!
 
Mr Ebo ulipokuwa unaumwa hatukuona cha CCM au chadema wakigombania kukuponya lakini leo chadema wanagombania maiti yako dhidi ya ccm



Soma vizuri maelezo ya mleta mada. Hakuna mahali amesema cdm wanagombea maiti dhidi ya ccm. Hayo mawazo sijui umeyatoa sayari gani!?
 
Jibu swali Lema ni nani kwenye familia ya Mr Ebo mpaka apange mazishi awaite wanaharakati wa Chadema?

Watu wa sisiem mnahangaika!? Lema amewaomba vijana kuhudhuria kwenye maziko ya mwanamziki aliyewawakilisha wakazi wa Arusha! Sasa mmeshaanza kuogopa! Kwani kuwaita vijana ndio wanaharakati wa cdm? Au kwakuwa vijana wamekikimbia chama chenu sasa mnawaona vijana wote ni wanaharakati wa cdm? Tulieni jamani. Msiogope uoga!
 
Jibu swali Lema ni nani kwenye familia ya Mr Ebo mpaka apange mazishi awaite wanaharakati wa Chadema?

Ni mbunge wa hiyo familia... vipi kaka na wewe si ufute huo mwaliko kama umekuudhi!
 
Heshima kwako Kibacha.

Hili nalo neno.

Mkuu nilitaka kushangaa tangu lini Lema kawa mchungaji wa KKKT.Kwa kawaida mazishi ya kikristo yanaongozwa na Mwinjilisti,Mchungaji au Askofu.Mbunge,Meya,Diwani au Waziri au wananchi wa kawaida ni sehemu ya waombolezaji wakishirikiana na wanafamilia.

Muanzisha mada angesema Askofu Thomas Laizer kuongoza mazishi ya Mr Ebo Motika kusingekuwa na mjadala Lema Lyimo na watu wote ni waombolezaji kiongozi wa maomboleza kwa maana ya itifaki ya kanisa ni Askofu Dr T Laizer.


Askofu Laizer aongoza ibada sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…