kimara Kimara
Member
- Jul 7, 2024
- 80
- 173
Mb ngapi hapo sasa?..huu ubahili kiboko.bora sijachoma mbs zangu
nilianza kwa kusoma comment
Ilikuwa ni nini kwenye begi? Na maelezo waliyotaka ni ya nini? Na waliposema wameshafunga vizuri haitoi harufu, ilikuwa nini?Hii mbona wamesema sio kweli jamani
Dunia sasa imani imekwishaTarehe 19/12/2024 abiria wa bus la Frester VIP T794EHR seat No 40 toka kahama to dar kakamatwa Misigiri Singida anasafirisha KICHWA CHA MTU (mtoto) kwenye begi. Kilikua kinatoa harufu mbaya kwenye gari hadi akashtukiwa. Tuongeze umakini sana kwenye ukaguzi kabla safari haijaanza.
polisi wametoa taarifa kuwa sio kichwa cha mtoto, huyo ni mganga na hizo ni dawa zimechanganywa na utumbo wa samaki, amefikishwa mahakamani kwa kosa na kufanya tiba bila kuwa na kibaliIlikuwa ni nini kwenye begi? Na maelezo waliyotaka ni ya nini? Na waliposema wameshafunga vizuri haitoi harufu, ilikuwa nini?
Kale kamsemo kakusema "Tafuta Hela"Tarehe 19/12/2024 abiria wa bus la Frester VIP T794EHR seat No 40 toka kahama to dar kakamatwa Misigiri Singida anasafirisha KICHWA CHA MTU (mtoto) kwenye begi. Kilikua kinatoa harufu mbaya kwenye gari hadi akashtukiwa. Tuongeze umakini sana kwenye ukaguzi kabla safari haijaanza.
Ndio zinawapa vyeo na hela.Nilivyoona tu hiyo title nikajua tu hiyo ni usukumani.
Jamaa hawana akili kabisa
Alimtibu nani? Maana akiwauliza tu hilo swali, msipokuwa na jibu la kueleweka, tayari ameshashinda kesi.polisi wametoa taarifa kuwa sio kichwa cha mtoto, huyo ni mganga na hizo ni dawa zimechanganywa na utumbo wa samaki, amefikishwa mahakamani kwa kosa na kufanya tiba bila kuwa na kibali
Kasema yeye ni mganga,kwann awe mganga bila kibaliAlimtibu nani? Maana akiwauliza tu hilo swali, msipokuwa na jibu la kueleweka, tayari ameshashinda kesi.