Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Nadhani hapo kosa lake litakua ni kuhusu kibali,. Suala la mganga ni yeye ndio kajiteteaAlimtibu nani? Maana akiwauliza tu hilo swali, msipokuwa na jibu la kueleweka, tayari ameshashinda kesi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani hapo kosa lake litakua ni kuhusu kibali,. Suala la mganga ni yeye ndio kajiteteaAlimtibu nani? Maana akiwauliza tu hilo swali, msipokuwa na jibu la kueleweka, tayari ameshashinda kesi.
Mbona wapo watu wanaitwa kassim mganga.., kujiita mganga sio kosa.Nadhani hapo kosa lake litakua ni kuhusu kibali,. Suala la mganga ni yeye ndio kajitetea
DuuhMbona wapo watu wanaitwa kassim mganga.., kujiita mganga sio kosa.
Jaribu kusikliza kesi za mahakamani zilivyo, ushahidi ushibeDuuh
Sema hapo akipata wakili mzuri anashinda kesi vizuri tuJaribu kusikliza kesi za mahakamani zilivyo, ushahidi ushibe
Jeshi la polisi limekanusha habari hii. Jamaa alibaba utumbo wa samaki, ndio uliokuwa unatoa harufuTarehe 19/12/2024 abiria wa bus la Frester VIP T794EHR seat No 40 toka kahama to dar kakamatwa Misigiri Singida anasafirisha KICHWA CHA MTU (mtoto) kwenye begi. Kilikua kinatoa harufu mbaya kwenye gari hadi akashtukiwa. Tuongeze umakini sana kwenye ukaguzi kabla safari haijaanza.