KERO Abiria hawathaminiwi hata kama analipa nauli mwendokasi Gerezani-Mbezi mwisho

KERO Abiria hawathaminiwi hata kama analipa nauli mwendokasi Gerezani-Mbezi mwisho

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

M Hacker

Member
Joined
May 21, 2021
Posts
56
Reaction score
62
Jumatatu mida ya saa moja na dakika 15 nipo gerezani nasubiria gari ya Mbezi picha linaanza watu niliowakuta ni wengi na gari hamna toka saa 19:15 hadi saa 20:40.

Gari zinazopita zinaenda Kimara au Muhimbili na Morocco ila Mbezi ndo kama umesahaulika saa 20:40 gari za Mbezi zinafika Gerezani na kupakia abiria na watu wanagombania.

Ishu kubwa kama unasema gari ya Mbezi mwisho saa 20:30 je zikichelewa na kituo bado kukawa na abiria mnalazimisha abiria akihitaji gari lije lingine ugomvi kati abiria vs supervisor na wafanyakazi yaani supervisor hata kuwa busara kuwasikiliza wateja wanataka nini..? Hujali

Gerezani Mbezi imekuwa ugomvi kwasasa.
 
Mitano tena, miaka 60+ ya uhuru bado CCM na serikali yake inashindwa ku organise mambo madogo madogo kabisa ili wananchi wake wasipate kero, kazi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom