Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Kuna mdau katika ule uzi wa Bei za Vyakula Alishauri:
1, tujitahidi sisi wasafiri kutopenda kulakula sana. Mfano mtu unatoka Dar to Iringa, masaa 8 kuna ulazima gani kula hayo Masaa kama wewe ni mzima wa afya?
2, panapokua na uhitaji kama una mtoto, mgonjwa, unanyonyesha, au una njaa, basi either beba msosi ulipotoka au kula zile fast foods kama juice, maji, biskuit.
Ujinga ni kampuni za mabasi kutulisha kwenye hoteli hizo..
Nafikiri hii ndo solution ya kudumu.Kuna mdau katika ule uzi wa Bei za Vyakula Alishauri:
1, tujitahidi sisi wasafiri kutopenda kulakula sana. Mfano mtu unatoka Dar to Iringa, masaa 8 kuna ulazima gani kula hayo Masaa kama wewe ni mzima wa afya?
2, panapokua na uhitaji kama una mtoto, mgonjwa, unanyonyesha, au una njaa, basi either beba msosi ulipotoka au kula zile fast foods kama juice, maji, biskuit.
Dar - Kyela ni masaa 16 , na kwa jinsi ya mabasi yetu yalivyo kusafiri ni sawa na kulima , inawezekanaje ukashinda njaa ?Kuna mdau katika ule uzi wa Bei za Vyakula Alishauri:
1, tujitahidi sisi wasafiri kutopenda kulakula sana. Mfano mtu unatoka Dar to Iringa, masaa 8 kuna ulazima gani kula hayo Masaa kama wewe ni mzima wa afya?
2, panapokua na uhitaji kama una mtoto, mgonjwa, unanyonyesha, au una njaa, basi either beba msosi ulipotoka au kula zile fast foods kama juice, maji, biskuit.
Unabeba vichari vinne vya ndizi mbivu.. Mkate wa 2000 na take away nne.Dar - Kyela ni masaa 16 , na kwa jinsi ya mabasi yetu yalivyo kusafiri ni sawa na kulima , inawezekanaje ukashinda njaa ?
Aiseeee !!Kwa iringa watu washalishwa sana mbwa na kunguru
Ova
mkuu hii hotel ya bismillah Ipo sehemu gani
Mkuu kumbuka kwamba watazania wengi hatuna utamaduni wakutalii au kuenda likizo za kupumzika na kula Bata.......wengi safari hizo nikama outing zao kwahiyi wanataka waburudike outing zao kwa gharama nafuu, kweli wewe utaenda outing bila kula chochote kisa eti safari ni ya masaa ma nane tuKuna mdau katika ule uzi wa Bei za Vyakula Alishauri:
1, tujitahidi sisi wasafiri kutopenda kulakula sana. Mfano mtu unatoka Dar to Iringa, masaa 8 kuna ulazima gani kula hayo Masaa kama wewe ni mzima wa afya?
2, panapokua na uhitaji kama una mtoto, mgonjwa, unanyonyesha, au una njaa, basi either beba msosi ulipotoka au kula zile fast foods kama juice, maji, biskuit.
Mkuu kumbuka kwamba watazania wengi hatuna utamaduni wakutalii au kuenda likizo za kupumzika na kula Bata.......wengi safari hizo nikama outing zao kwahiyi wanataka wadurudike outing zao kwa gharama nafuu kweli wewe utaenda outing bila kula chochote kisa eti safari ni ya masaa ma nane tu