KERO Abiria wa Mwendokasi tuliotakiwa kutoka Kivukoni kwenda Kimara, Dereva katupeleka Morocco kisha akaturudisha Kivukoni

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
DP World apewe mradi huu. Wabongo tumeushindwa.
 
yaani basi zima mpo zaidi 100 supavaiza na dereva wanawazunguusha mnawaangalia tu! na kuwalamba makofi? nyie nae ni wa hovyo hovyo tu mxsiuu!
 
mwenyewe nimemwambia mkuu.. yaani wapo zaidi ya 100 wanazunguushwa na watu 2 tu? kamata dereva na huyo supavaiza chapa makofi yanguvu.. shuwain kbs!
 
we utakuwa unaishi kule ngulyati bariadi kwa wachawi na ww ni mwanga tu.. umeambiwa hayo mabasi ni spesho kwa hao unaowasema? wanahusika wao tu? hovyooo!
 
MLIVAA JEZJ ZA MAMELODY AMA AL AHLY MAANA HAO WANATAFUTWA NA PASSPORT MPAKA SASAA AISEE SHETANI GA. KAWAINGIA MWENDO...
 
Uzi kama huu ulitakiwa uandike tukampiga dereva ndio wakatupeleka.
 
Dereva alipiga gongo la soko la samaki linalopikwa kwa samaki waliooza.
 
Huu mradi ni wa kipumbavu sana.umekula Kodi zetu na faida sifuri.bora Huu mradi uvunjwe na gari zote zianze kupita kwenye Barabara za mwendokasi
Hawa dereva na msimamizi wachukuliwa hatua ya kinidhamu na washtakiwe kwa kosa la kutia hasara shirika. Iwe ni fundisho kwa watendaji wengine.
 
Wale Dereva mnawaonea bure, usimamiz ndio tatizo mabasi ni machache hivyo dereva analazimika kufanya kaz ya ziada au kujiongeza ili awaokoe watu wenye uhitaji zaid, sasa tatizo abiria wa Dar hawaelewi hiyo changamoto yeye akishakata Tiket tu basi anajiona ana haki ya kuondoka muda huo huo bila kuwazingatia Walemavu, wazee na watoto.

Mimi ningewapeleka Kibaha mrudi kwa Mguu.
 
Ndiyo maana anataka kupewa mwekezaji aendeshe hayo mabasi.

Waliopo wameshindwa.
Hivi wa kina Simon Msena wale walinunua UDA si ndo walipewa huo mradi kama wawekezaji au najichanganya. All in all anaeendesha anahisi anatia huduma na amesahau kama Ile ni biashara kama zilivyo biashara nyingine.
 
Tunajitoa TU akili.ila kiukweli hao madereva na mfumo mzima wa hayo mabasi,hawataki uwekezaji,hiyo ni meseji,nikama mgomo baridi

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Inasemekana wengi wa madereva wa mabasi ya mwendokasi walitolewa jeshini kupunguza gharama za uendeshaji. Sasa mwana jeshi na kuhudumia raia ni wapi na wapi?
 
Hivi wa kina Simon Msena wale walinunua UDA si ndo walipewa huo mradi kama wawekezaji au najichanganya. All in all anaeendesha anahisi anatia huduma na amesahau kama Ile ni biashara kama zilivyo biashara nyingine.
Siwafahamu wawekezaji wa sasa.
 
Si ndo hapo. Yeye kakili walemavu na staff wamepandishwa. Walijua anakoenda? Haya,kawambia washuke,bado hawataki. Angewasaidiaje sasa! Kama mabasi mengine yamepaki,ina maana hakuwa kazini hata yeye. Kimara angeenda kufanya nini kama hakupangiwa? Aliepiga simu,nae wale wale tu. Mara mia angepiga simu kwa niaba ya wote waliokosa usafili. Sasa dereva kawakimbia,na leo yupo kazini. Mmefaidi nini sasa
 
Huo mradi umekuwa na utotot mwingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…