dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Shukuru mungu hajawamwaga bahari ,madereva mabus Wana roho katili sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani basi zima mpo zaidi 100 supavaiza na dereva wanawazunguusha mnawaangalia tu! na kuwalamba makofi? nyie nae ni wa hovyo hovyo tu mxsiuu!Jana Machi 26, 2024 nikiwa kwenye Kituo cha Mwendokasi cha Kivukoni, kulikuwa na nyomi la hatari mida ya jioni, mabasi mengi yalikuwa yamepaki pembeni na machache yaliyokuja hayakukidhi haja ya huduma iliyotakiwa kutolewa.
Watu walikuwa wengi na wengine wakionekana wanataka kuwahi kwenda kupata futari.
Tukiwa katika hali hiyo, Saa 1:00 Usiku likaja basi kushusha abiria Namba zake za usajili T 591 DWR, baada ya kumaliza kala halijaanza utaratibu wa kuja pale tulipokuwa tumepanga foleni ya kwenda Kimara, Dereva wa Basi hilo akaanza kupandisha Wafanyakazi wenzake na baadhi ya Walemavu.
Wakati akifanya hivyo idadi ya aliokuwa akiwapandisha ni kubwa, ikabidhi watu waanze kuvamia nao waingie bila kufuata utaratibu, nami nikachoma ndani.
Dereva akatutaka tushuke, watu tukakaza, kaona sasa atukomeshe, badala ya Kwenda Kimara akatupeleka Morocco, huko napo watu wakakaza kushuka, eti alitaka tushuke pale.
Baada ya ubishi wa muda mrefu akachoma mafuta akaturudisha Kivukoni, huko napo abiria wakakaza, akaja Msimamizi wake, naye badala atumie busara, akaanz kutuambia “Nyie si mnajifanya vichaa, sasa sisi vicha zaidi yenu, leo mtalala hapohapo.”
Kulikuwa na vijana na madogo kibao wanafunzi wakaanza kuimba nyimbo kama vile wanaandamana.
Ndipo kuna mtu mzima mmoja nikaona ameshika simu akampigia Waziri Mohammed Mchengerwa, akamweleza kinachoendelea, kwanza Waziri hakuamini, akamwambia apige picha au arekodi video amtumie, yule mdingi akafanya hivyo.
Ndipo baadaye nasikia huyu bosi mpya wa Mwendokasi naye akapiga simu na kusema anakuja eneo la tukio, kusikia hivyo yule supervisor na dereva wake wakasepa, wakaona msala huo.
Tukapata dereva mwingine safari ya kuondoka Kivukoni ikaanza Saa 3:25 Usiku, tukafika Kimara almost saa Nne usiku.
Imagine tumekata tiketi Saa 12 Jioni kisha tunafika Kimara Saa Usiku.
Hawa madereva wa Mwendokasi nadhani wanatakiwa kuangaliwa saikolojia ya akili yao, pia huduma kwa ujumla za Mwendokasi ni janga.
Serikali ina kazi kubwa ya kufanya katika huu mradi.
Majibu ya DART - DART kuchukua hatua dhidi ya Dereva na Wasimamizi wa Mwendokasi waliowapeleka Abiria Morocco badala ya Kimara
mwenyewe nimemwambia mkuu.. yaani wapo zaidi ya 100 wanazunguushwa na watu 2 tu? kamata dereva na huyo supavaiza chapa makofi yanguvu.. shuwain kbs!Yaan umasikin unakusumbua...mi ningeshuka kuliko kupoteza masaa yote hayo...hivi ninyi muda kwenu huwa unasimama eeh....jaman hakuna serikali itayo hudumia familia yako...yaani mmekaa kama mazombi masaa zaid ya manne sa si bora hata mngeshusha kipondo kwa huyo dereva...unakuja lia lia jamii forum huku....mla kasa mkubwa wewe..
we utakuwa unaishi kule ngulyati bariadi kwa wachawi na ww ni mwanga tu.. umeambiwa hayo mabasi ni spesho kwa hao unaowasema? wanahusika wao tu? hovyooo!Sasa na nyie ndugu zangu watanzania ni wajinga kiasi fulani.
Mtu anapakia walemavu na staff wengine,nyie kiliwawasha nini kuvamia mkapande wakati hamuhusiki? Ingekua mwendokasi inaendeshwa na Jeshi ingetakiwa walau mkashushiwe lugalo walau na bakora mbili mbili za matako.
Jifunzeni ustaarabu
MLIVAA JEZJ ZA MAMELODY AMA AL AHLY MAANA HAO WANATAFUTWA NA PASSPORT MPAKA SASAA AISEE SHETANI GA. KAWAINGIA MWENDO...Jana Machi 26, 2024 nikiwa kwenye Kituo cha Mwendokasi cha Kivukoni, kulikuwa na nyomi la hatari mida ya jioni, mabasi mengi yalikuwa yamepaki pembeni na machache yaliyokuja hayakukidhi haja ya huduma iliyotakiwa kutolewa.
Watu walikuwa wengi na wengine wakionekana wanataka kuwahi kwenda kupata futari.
Tukiwa katika hali hiyo, Saa 1:00 Usiku likaja basi kushusha abiria Namba zake za usajili T 591 DWR, baada ya kumaliza kala halijaanza utaratibu wa kuja pale tulipokuwa tumepanga foleni ya kwenda Kimara, Dereva wa Basi hilo akaanza kupandisha Wafanyakazi wenzake na baadhi ya Walemavu.
Wakati akifanya hivyo idadi ya aliokuwa akiwapandisha ni kubwa, ikabidhi watu waanze kuvamia nao waingie bila kufuata utaratibu, nami nikachoma ndani.
Dereva akatutaka tushuke, watu tukakaza, kaona sasa atukomeshe, badala ya Kwenda Kimara akatupeleka Morocco, huko napo watu wakakaza kushuka, eti alitaka tushuke pale.
Baada ya ubishi wa muda mrefu akachoma mafuta akaturudisha Kivukoni, huko napo abiria wakakaza, akaja Msimamizi wake, naye badala atumie busara, akaanz kutuambia “Nyie si mnajifanya vichaa, sasa sisi vicha zaidi yenu, leo mtalala hapohapo.”
Kulikuwa na vijana na madogo kibao wanafunzi wakaanza kuimba nyimbo kama vile wanaandamana.
Ndipo kuna mtu mzima mmoja nikaona ameshika simu akampigia Waziri Mohammed Mchengerwa, akamweleza kinachoendelea, kwanza Waziri hakuamini, akamwambia apige picha au arekodi video amtumie, yule mdingi akafanya hivyo.
Ndipo baadaye nasikia huyu bosi mpya wa Mwendokasi naye akapiga simu na kusema anakuja eneo la tukio, kusikia hivyo yule supervisor na dereva wake wakasepa, wakaona msala huo.
Tukapata dereva mwingine safari ya kuondoka Kivukoni ikaanza Saa 3:25 Usiku, tukafika Kimara almost saa Nne usiku.
Imagine tumekata tiketi Saa 12 Jioni kisha tunafika Kimara Saa Usiku.
Hawa madereva wa Mwendokasi nadhani wanatakiwa kuangaliwa saikolojia ya akili yao, pia huduma kwa ujumla za Mwendokasi ni janga.
Serikali ina kazi kubwa ya kufanya katika huu mradi.
Majibu ya DART - DART kuchukua hatua dhidi ya Dereva na Wasimamizi wa Mwendokasi waliowapeleka Abiria Morocco badala ya Kimara
Mipango hiyo mzee mbinu nyingi mjini hapaHuyo abiria mwenye namb ya waziri na akapiga sim muda huo huo akaongea nae .... ahahahah
Hawa dereva na msimamizi wachukuliwa hatua ya kinidhamu na washtakiwe kwa kosa la kutia hasara shirika. Iwe ni fundisho kwa watendaji wengine.Huu mradi ni wa kipumbavu sana.umekula Kodi zetu na faida sifuri.bora Huu mradi uvunjwe na gari zote zianze kupita kwenye Barabara za mwendokasi
Hivi wa kina Simon Msena wale walinunua UDA si ndo walipewa huo mradi kama wawekezaji au najichanganya. All in all anaeendesha anahisi anatia huduma na amesahau kama Ile ni biashara kama zilivyo biashara nyingine.Ndiyo maana anataka kupewa mwekezaji aendeshe hayo mabasi.
Waliopo wameshindwa.
Siwafahamu wawekezaji wa sasa.Hivi wa kina Simon Msena wale walinunua UDA si ndo walipewa huo mradi kama wawekezaji au najichanganya. All in all anaeendesha anahisi anatia huduma na amesahau kama Ile ni biashara kama zilivyo biashara nyingine.
Si ndo hapo. Yeye kakili walemavu na staff wamepandishwa. Walijua anakoenda? Haya,kawambia washuke,bado hawataki. Angewasaidiaje sasa! Kama mabasi mengine yamepaki,ina maana hakuwa kazini hata yeye. Kimara angeenda kufanya nini kama hakupangiwa? Aliepiga simu,nae wale wale tu. Mara mia angepiga simu kwa niaba ya wote waliokosa usafili. Sasa dereva kawakimbia,na leo yupo kazini. Mmefaidi nini sasaSasa na nyie ndugu zangu watanzania ni wajinga kiasi fulani.