Abiria wa Pugu anafuata nini kwenye SGR kama sio upigaji

Wasishushe mtu hadi Mororogo
Kuzuia mtu kushuka njiani utakua Ni uonevu maana sometimes watu hupata dharula na kuishia njiani kurudi walipotoka

Solution waweke nauli ambayo ni flat. Kama Dar to Moro ni 13k basi iwe hiyo hiyo atayeshuka njiani hiyo inakua hiari yake, atayelipa 13k ili ashukie pugu hiyo ni hiari yake
 
Naskia SGR wanapakia abiria hadi wa buku alafu wanapitiliza hadi dodoma

Juzi hapa kulikuwa na malalamiko abiria wa Doodma wale original na wa moro wanakosa tiketi wanaona online treni imejaa kumbe mmewapa nafasi watu wa pugu na abira wa karibu kwa bei kitonga na hao kitonga ni wahuni wanaopitiliza hadi Morogoro, Dodoma kwa elfu moj hivi hamuoni aibu?

Huu mradi msipikuwa makini mtauuwa mapema tu maana naona hii ni michezo ya wafanyakazi

Ukienda abood pale hakuna nauli ya mlandizi wala nauli ya Chalinze ukipanda gari ya mro kama nuali ni sh 13000 utalipia hiyp hiyo 13000 hakuna masihara

Ukipanda tilisho,kilimanjaro,bm za arusha kama unashukia Tanga au himo wao haiwahusu utalipa 45000 ile ile ya Arusha wanafanya hivyo kuepuka upigaji wa wafanyakazi na abiria wasio waaminifu sasa nyie sgr hamjifunzi kwa wenzenu?

Abiria wa pugu si apande daladala za gongo la mboto pugu kwenye sgr anafuata nini
Enzi za Shujaa. Angeshateuliwa Waziri mwingine
 
Hii nchi inafikirisha kwa kweli... Yaani anayeenda Dodoma ananyimwa siti sababu ya abiria wa Pugu wa nauli ya buku ambaye daladala zinamfikisha...
Kinachofanyika kwa hao abiria wa pugu ni uzwauzwa wa hali ya juu huwezi kukuta Abood au B.M
kibeba abiria wa mlandizi kutokea dar
This is a Sabotage Technique in order to make SGR collapsed.
 
watanzania (baadhi) wajinga sana wanajifanya watalaamu na professional wa kila kitu, kwani Pugu hakuna station ya treni? na kwa nini iljengwa kama haina maana? low iq folks, emotions zimewajaa badala ya logic, sgr ina treni aina mbali mbali kuna ya kawaida ambayo itasimama kila kituo na kuna express ambayo itasimama vituo vikubwa tu, kipi ambacho hamuelewi hapo? nchi haiendeshwi kwa personal interest bali interest za wote, huko Pugu kuna watu wanaishi pia …
Acha kushambulia wenzio wanao tafuta suluhu ya huu wizi wa kizembe, wewe kama una akili timamu kabisa na wewe toa maoni yako pia nini kifanyike kuzuia hao wahujumu na sio kujifanya jaji wa maoni ya wenzio.
 
exactly, wa akti ya Moro na Dom wapande mabasi ambayo yanalalamika kukosa abiria, au akipanda wa katikati alipe nauli kamili ya Dom! watatawanyika wenyewe
Lakini watanzania akili zetu zinatutosha wenyewe. Unanunua treni ya masafa marefu halafu unaweka nauli ya daladala... Hii sijui akili ya wizi tunaitoa wapi
 
Treni ibebe Morogoro na Dodoma tu hao wengine wanapoteza muda tu
Kuna rafiki yangu anakaa miembe saba,na anafanya kama afisa wa juu wa kati uhamiaji hawezi kukuelewa kumwambia asiishie mlandizi
 
Acha kushambulia wenzio wanao tafuta suluhu ya huu wizi wa kizembe, wewe kama una akili timamu kabisa na wewe toa maoni yako pia nini kifanyike kuzuia hao wahujumu na sio kujifanya jaji wa maoni ya wenzio.
Kwani na wewe mwenye akili timamu ni nani kakushika makalio yako ? Nawe toa maoni yako nini kifanyike.
 
Huo nao ni aina y’a uzembe, abiria wa Pugu si apande zile treni za Mwakyembe.
TRC wanatakiwa watoze nauli moja ya Moro kwa hao wanaoshukia vituo jirani…
 
Kuzuia mtu kushuka njiani utakua Ni uonevu maana sometimes watu hupata dharula na kuishia njiani kurudi walipotoka

Solution waweke nauli ambayo ni flat. Kama Dar to Moro ni 13k basi iwe hiyo hiyo atayeshuka njiani hiyo inakua hiari yake, atayelipa 13k ili ashukie pugu hiyo ni hiari yake
Dah naina sisi wa ougu wanTaka kutubagua 😄 au sisi siyo watu

Ova
 
Naskia SGR wanapakia abiria hadi wa buku alafu wanapitiliza hadi dodoma

Juzi hapa kulikuwa na malalamiko abiria wa Doodma wale original na wa moro wanakosa tiketi wanaona online treni imejaa kumbe mmewapa nafasi watu wa pugu na abira wa karibu kwa bei kitonga na hao kitonga ni wahuni wanaopitiliza hadi Morogoro, Dodoma kwa elfu moj hivi hamuoni aibu?

Huu mradi msipikuwa makini mtauuwa mapema tu maana naona hii ni michezo ya wafanyakazi

Ukienda abood pale hakuna nauli ya mlandizi wala nauli ya Chalinze ukipanda gari ya mro kama nuali ni sh 13000 utalipia hiyp hiyo 13000 hakuna masihara

Ukipanda tilisho,kilimanjaro,bm za arusha kama unashukia Tanga au himo wao haiwahusu utalipa 45000 ile ile ya Arusha wanafanya hivyo kuepuka upigaji wa wafanyakazi na abiria wasio waaminifu sasa nyie sgr hamjifunzi kwa wenzenu?

Abiria wa pugu si apande daladala za gongo la mboto pugu kwenye sgr anafuata nini
Sisi watanzania hukufai kusimamia serikali ikiwapa dp world watumishi wataanza kulialia
 
Back
Top Bottom