Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ni kusimama simama kila baada ya dakika 2! Unajua spidi ya 160km/hour wewe!Hao wa Pugu serikali ingewafungulia Kiberenge(kile kilichokaa kama trekta/kichanja/ist) kinawatosha, hata wasilipe au walipe wakifika maana ni roho mkononi kufika ni majaaliwa, hata wale wa kafara watapatikana humo humo.
Wanapanga bila kuhusisha wadau?Bei wanapanga Latra...
Utaambiwa wameajiriwa kupitia interview na utumishi, ovyo kabisaStaff nzima ya TRC kuanzia Bodi ya wakurugenzi na Mkurugenzi wake mkuu wapigwe chini au wafunguliwe mashitaka ya uhujumu uchumi! Hivi inaingia akilini train ya masafa marefu kupakia abiria wa buku? (1,000/=) kweli? Hawa watu wana akili au matope? Kwani daladala za gongolamboto hawazioni? Yaani train inayoenda speed ya 160km/saa iwe inasimama na kushusha abilia kila baada ya akika 5 au 10? Alafu bila aibu wanakuja kwenye hadhira na vyombo vya habari eti hao abilia wa buku wanasafiri hadi Dodoma/Morogoro kwa buku? Real? Mradi wa SGR umegharimu trillions za hela ya walipa kodi na madeni na riba juu alafu wajinga na mapunguani wanataka kuuharibu? Watanzania nani katuloga? Hivi unaweza kwenda Magufuli Bus terminal ukapanda basi la kwenda Dodoma ukawapa buku wakushushe kibaha wakakubali? Mambo mengine yanatia hasira?
Acha hizo wewe! Station ya karibu inajengwa (mahususi) kwa abiria wa mbali kushuka! Mfano abiria kutoka Dodoma au Morogoro anakuja Dar lakini anaishi maeneo ya Pugu/Gongolamboto kushuka, na sio Train imeanza route Station ya Dar (railway) ili kupakia mtu wa kushuka Pugu! Haya ni matumizi mabaya ya akili!watanzania (baadhi) wajinga sana wanajifanya watalaamu na professional wa kila kitu, kwani Pugu hakuna station ya treni? na kwa nini iljengwa kama haina maana? low iq folks, emotions zimewajaa badala ya logic, sgr ina treni aina mbali mbali kuna ya kawaida ambayo itasimama kila kituo na kuna express ambayo itasimama vituo vikubwa tu, kipi ambacho hamuelewi hapo? nchi haiendeshwi kwa personal interest bali interest za wote, huko Pugu kuna watu wanaishi pia …
Naunga mkono hoja 100%, hili sio jambo jipya wenye magari wameshawaonesha njia, huwezi kupanda bus toka Dodoma kwenda Dar ukasema mimi nashukia chalinze nilipe kidogo hakuna kitu kama hicho wewe lipa nauli ya seat full shauri yako hata ushukue Gairo. Maana kama unataka kwenda Gairo kapande magari ya Gairo. Kosa la reli ya zamani mkaliuwa mnarudia yale yale.we ni mshenzi sana, hao wanaoishi pugu daladala hazipo? watu wa daladala wafunge biadhara zao kisa sgr? acheni ujinga kutaka kuua mradi, nauli iwekwe flat rate, kutoka dar hadi moro na dar -dodoma, pia moro-Dodoma
mnaoshukia njiano mfano nyie wa pugu na maeneo mengine njiani mnalipa nauli ile ile ya dar-moro, huwezi kapande daladara utafika tu😠 , serikali wekeni flat rate prices mkitaka kunusuru mradi
Book jumlisha book!hela tayari.Staff nzima ya TRC kuanzia Bodi ya wakurugenzi na Mkurugenzi wake mkuu wapigwe chini au wafunguliwe mashitaka ya uhujumu uchumi! Hivi inaingia akilini train ya masafa marefu kupakia abiria wa buku? (1,000/=) kweli? Hawa watu wana akili au matope? Kwani daladala za gongolamboto hawazioni? Yaani train inayoenda speed ya 160km/saa iwe inasimama na kushusha abilia kila baada ya akika 5 au 10? Alafu bila aibu wanakuja kwenye hadhira na vyombo vya habari eti hao abilia wa buku wanasafiri hadi Dodoma/Morogoro kwa buku? Real? Mradi wa SGR umegharimu trillions za hela ya walipa kodi na madeni na riba juu alafu wajinga na mapunguani wanataka kuuharibu? Watanzania nani katuloga? Hivi unaweza kwenda Magufuli Bus terminal ukapanda basi la kwenda Dodoma ukawapa buku wakushushe kibaha wakakubali? Mambo mengine yanatia hasira?
Mwehu nae huyo Botha wako na Trump!Kqburu PW BHOTA alisikika akisema:
“Black people cannot rule themselves because they don’t have the brain and mental capacity to govern a society … Give them guns, they would kill themselves; Give them power, they will steal all the government money; Give them independence and democracy; they will use it to promote tribalism, ethnicity, bigotry, hatred, killings, and wars!”
Wako sahihi 💯Mwehu nae huyo Botha wako na Trump!
Ni sawa kabisa ila suala la kulipa buku mpka moro hi ishu sio ya kuchekea kumbuka uke mradi jiwe na mama walikopa trillioni tusifanye mchezo na hawa ccmwatanzania (baadhi) wajinga sana wanajifanya watalaamu na professional wa kila kitu, kwani Pugu hakuna station ya treni? na kwa nini iljengwa kama haina maana? low iq folks, emotions zimewajaa badala ya logic, sgr ina treni aina mbali mbali kuna ya kawaida ambayo itasimama kila kituo na kuna express ambayo itasimama vituo vikubwa tu, kipi ambacho hamuelewi hapo? nchi haiendeshwi kwa personal interest bali interest za wote, huko Pugu kuna watu wanaishi p
Labda hujui maana ya biasharaImeshasema hafanyi biashara
Wahudumu pia niwazembe hawakagui tiketiNaskia SGR wanapakia abiria hadi wa buku alafu wanapitiliza hadi dodoma
Juzi hapa kulikuwa na malalamiko abiria wa Doodma wale original na wa moro wanakosa tiketi wanaona online treni imejaa kumbe mmewapa nafasi watu wa pugu na abira wa karibu kwa bei kitonga na hao kitonga ni wahuni wanaopitiliza hadi Morogoro, Dodoma kwa elfu moj hivi hamuoni aibu?
Huu mradi msipikuwa makini mtauuwa mapema tu maana naona hii ni michezo ya wafanyakazi
Ukienda abood pale hakuna nauli ya mlandizi wala nauli ya Chalinze ukipanda gari ya mro kama nuali ni sh 13000 utalipia hiyp hiyo 13000 hakuna masihara
Ukipanda tilisho,kilimanjaro,bm za arusha kama unashukia Tanga au himo wao haiwahusu utalipa 45000 ile ile ya Arusha wanafanya hivyo kuepuka upigaji wa wafanyakazi na abiria wasio waaminifu sasa nyie sgr hamjifunzi kwa wenzenu?
Abiria wa pugu si apande daladala za gongo la mboto pugu kwenye sgr anafuata nini
Station ya pale ingekuwa ya kupanda tu sio kushuka imagine train unaenda imejaa harafu abiria ni wa kushuka pugu unapakia abiria 1000 wote wanashuka pugu na nauli ni 1000 harafu unaacha abiria 800 na nauli 31000 usije fikiri wafanya maamuzi wanaakili kuliko wewe hao wao wanafanya makosa pengine hawakutegemea abiria kuwa wengi kiasi hichikwa nini station imejengwa hapo sasa kama haina maana? hata wewe kama hautaki treni isimame Pugu au station yoyote ile ndogo unaweza kupanda abudi au shabibi pia siyo lazima upande treni …