Abiria wa Pugu anafuata nini kwenye SGR kama sio upigaji

Hao wa Pugu serikali ingewafungulia Kiberenge(kile kilichokaa kama trekta/kichanja/ist) kinawatosha, hata wasilipe au walipe wakifika maana ni roho mkononi kufika ni majaaliwa, hata wale wa kafara watapatikana humo humo.
Shida ni kusimama simama kila baada ya dakika 2! Unajua spidi ya 160km/hour wewe!
 
Kaburu PW BHOTA alisikika akisema:
“Black people cannot rule themselves because they don’t have the brain and mental capacity to govern a society … Give them guns, they would kill themselves; Give them power, they will steal all the government money; Give them independence and democracy; they will use it to promote tribalism, ethnicity, bigotry, hatred, killings, and wars!”
 
Tz nchi imejaa wajinga wajinga wengi sana CV zao nzuri ila akili kisoda
 
Utaambiwa wameajiriwa kupitia interview na utumishi, ovyo kabisa
 
Acha hizo wewe! Station ya karibu inajengwa (mahususi) kwa abiria wa mbali kushuka! Mfano abiria kutoka Dodoma au Morogoro anakuja Dar lakini anaishi maeneo ya Pugu/Gongolamboto kushuka, na sio Train imeanza route Station ya Dar (railway) ili kupakia mtu wa kushuka Pugu! Haya ni matumizi mabaya ya akili!
 
Naunga mkono hoja 100%, hili sio jambo jipya wenye magari wameshawaonesha njia, huwezi kupanda bus toka Dodoma kwenda Dar ukasema mimi nashukia chalinze nilipe kidogo hakuna kitu kama hicho wewe lipa nauli ya seat full shauri yako hata ushukue Gairo. Maana kama unataka kwenda Gairo kapande magari ya Gairo. Kosa la reli ya zamani mkaliuwa mnarudia yale yale.

1-Train ya Dar-Dom hii ikifika Moro nikupakia tu hakuna kushusha kwa sababu Moro tayari wana train 8 kwa siku baina ya Dar-Moro, abiria wa kushuka Moro asikatiwe ticket kwenye Train ya Dar-Dom iwe flat bei Dar-Dom. Unataka kushuka Moro Train zipo kwanini ukapande ya Dom? hapo ndio upigaji.

2- Hii ya Dar-Moro ndio isimame vituo vya kati lakini bei flat ya Dar-Moro.

Kuongezea hii ya Dar-Dom waanze kushusha vituo vya baada ya Moro lakini nauli ni full Dar to Dom, wakati wa kurudi kushusha ianzie Moro kwenda mbele nauli flat. Ukiweka system inayokataa ku issue ticket za Moro kwenye train ya Dar-Dom itaondoa wizi usiache mikononi mwa wafanyakazi watapiga deal. Kuje na mfumo unaondeshwa na system usiache maamuzi kwa wafanyakazi wizi utaanzia hapo.
 
Book jumlisha book!hela tayari.
 
Mwehu nae huyo Botha wako na Trump!
 
Ni sawa kabisa ila suala la kulipa buku mpka moro hi ishu sio ya kuchekea kumbuka uke mradi jiwe na mama walikopa trillioni tusifanye mchezo na hawa ccm
 
Wahudumu pia niwazembe hawakagui tiketi
 
kwa nini station imejengwa hapo sasa kama haina maana? hata wewe kama hautaki treni isimame Pugu au station yoyote ile ndogo unaweza kupanda abudi au shabibi pia siyo lazima upande treni …
Station ya pale ingekuwa ya kupanda tu sio kushuka imagine train unaenda imejaa harafu abiria ni wa kushuka pugu unapakia abiria 1000 wote wanashuka pugu na nauli ni 1000 harafu unaacha abiria 800 na nauli 31000 usije fikiri wafanya maamuzi wanaakili kuliko wewe hao wao wanafanya makosa pengine hawakutegemea abiria kuwa wengi kiasi hichi
 
treni ya abiriahuwa ni huduma kwa jamiii ndio maana vituo vipo kila mahala....cha muhimu hao matiketi taker(T>T) wapakie bahewa la watu wa njiani alafu wakague kila mara kama treni ya zamani walivyokuwa wanafanya...wakimpata mhujumu wanamweka sero hata wiki tatu na kazi ngumu....ujinga utaisha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…