Abiria wa Pugu anafuata nini kwenye SGR kama sio upigaji

Hao ma TT ndio upigaji wenyewe... Inatakiwa treni iwe na nauli moja kama basi otherwise kuwe na electronic system itakayotoa alarm pale ambapo mtu anashuka na kupanda bila kutegemea mtu yeyote
 
Hao ma TT ndio upigaji wenyewe... Inatakiwa treni iwe na nauli moja kama basi otherwise kuwe na electronic system itakayotoa alarm pale ambapo mtu anashuka na kupanda bila kutegemea mtu yeyote
Hayo ya kutegemea system si ndiyo haya tunalalamikia kwamba raia wa Pugu anaenda mpaka Morogoro kwa buku? Unafikri kungekuwa na ukaguzi humo ndani nani angepitiliza kituo? Kama system wanayotimia ingekuwa na ufanisi mbona wangekuwa wameshawakamata. Maana kuanzia Pugu Seat lazima isome kwamba iko empty ili anayepandia Ruvu au Morogoro apewe hiyo seat. Sasa kote huko hawajafanikiwa kuwakamata?
 
Sasa hapa umetoa hoja gani zaidi ya Utopolo. Kwa hiyo Wasisafiri?
Nimeanza kusafiri na treni kabla ya Baba yako hajabalehe.
Babu yako hajui gharama ya behewa hata wewe mjukuu naona ni hivyohivyo.
 
Utakuwa ni uzezeta kama mpaka miaka hii tunaweka mtu wa kukagua ticket kwenye basi. Jamani jamani tuweke mifumo ambayo mtu akiingia na kutoka ticket inamtambua. Kama ilikuwa asukie njiani ina-mpa adhabu ya kulipa the difference na faini juu. Pia mtu kama huyo anakuwa ni ngumu mfumo kumpa ticket siku za mbeleni
 
Huko chini ya CCM hatufiki leo! Hiyo ya kuamini mifumo ndiyo hayo matokeo yake leo watu wanasafiri kwa Buku mpaka Dodoma!
 
Huko chini ya CCM hatufiki leo! Hiyo ya kuamini mifumo ndiyo hayo matokeo yake leo watu wanasafiri kwa Buku mpaka Dodoma!
Utengenezaji wa mifumo ya tiketi si ndio watoto wetu pale udsm na vyuo vya wahindi mjini huku wanapata first class degrees? Sasa imekuwaje tena?
 
Nao ni walipa Kodi
 
Watanzania akili zao wanawaza watapigaje hela kila uchwao ili wajenge nyumba nzuri na usafiri mzuri
Lakini watanzania akili zetu zinatutosha wenyewe. Unanunua treni ya masafa marefu halafu unaweka nauli ya daladala... Hii sijui akili ya wizi tunaitoa wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…