Abiria wa Tanzania akamatwa Hong Kong na heroin ikiwa ndani ya mashine

Abiria wa Tanzania akamatwa Hong Kong na heroin ikiwa ndani ya mashine

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
73,773
Reaction score
102,126
Kwa mara nyingine, maafisa wa Hong Kong katika kiwanja cha ndege wamefanikiwa kukamata dawa za kulevya zilizokuwa zinasafirishwa kutokea Tanzania safari hii zikiwa zimefichwa katikati ya chuma cha mashine.

Dawa hizo aina ya heroin zilikamatwa katika nyakati mbili tofauti kwa jumla zikiwa na kilo 1.5 na thamani ya dola milioni 1.3 za Marekani.

Maafisa hao wanasema kwa kuwa wamekuwa wakifuatilia kwa karibu nyendo za wauza dawa na mbinu za kuficha dawa hizo, walilazimika kukikata chuma cha mashine hiyo ili kuziona.

Adhabu ya kupatikana na dawa za kulevya huko Hong Kong ni faini ya dola milioni 5 za Kimarekani.

Taarifa iliyochapishwa kwenye tovuti ya Serikali ya nchi hiyo na picha zinazoambatana na taarifa hiyo vimepachikwa hapo chini.

6366947_orig.jpg


8940017_orig.jpg


8668822_orig.jpg
 
Tanzania sasa haina tofauti na columbia!!!
 
Hong Kong Customs smashed two heroin smuggling cases at the Hong Kong International Airport in two weeks and seized atotal of 1.5 kilograms of heroin with a value of about $1.3 million.
In the first case, Customs officers of the Airport Command selected an air consignment parcel declared as a metal gear from Tanzania, East Africa, for examination on August 2, and seized 0.7kg of heroin. The drug was found concealed in a metal gear and could only be detected until the metal gear was cut apart by a saw.
Customs officers of the Airport Command continued to closely monitor this smuggling method and routing. This morning (August 15), another air consignment parcel declared as a metal gear from Tanzania was selected for examination and 0.8kg of heroin with the same concealment method was unveiled. The seized dangerous drugs are believed to belong to the same syndicate. Investigation is ongoing.
Under the Dangerous Drugs Ordinance, drug trafficking is a serious offence. The maximum penalty is life imprisonment and a fine of $5 million.
 
MWAKYEMBE A.K.A MZEE WA MBWEMBWE umesikia hayo??? au yule rasta wa tegeta aliyekamatwa airport ilikuwa ni picha la ku act, ili muonekane kwenye media kwamba mnafanya kazi!!!!!??? CCM ni chuo cha SANAA, NDIO MAANA WAPO KARIBU NA WASANII kuliko WAKULIMA
 
Tule kwa kutoka jasho la halali! Tumeboronge kwenye elimu tunaibukia kwenye vitu vya aibu kabisa nchi ya amani kwelikweli bila utawala bora!
 
Tanzania Tanzania nchi yenye MALI nyingi, watu wengi wa Ulaya wanaililia sanaaaaaaa...

Nimeona ndege wengi......

Kumbe mali yenyewe ndio huo unga. Kweli CCM imetufikisha pabaya. Hiyo ya consignment ya tar 15 ni ya jana tu, huenda aliipeleka Mwakyembe mwenyewe maana kwenye hii biashara haaminiki mtu, unaweza kujifanya unapambana kumbe unatengeneza mazingira kupitisha kirahisi...
 
Hongera sana sana Tanzania, yaani fani zote hatuwezi hata hio ya kusafirisha madawa tushindwe? No No lazima hii tuimudu bhana
 
halafu mwakyembe anatuletea sanaa za kumakamata ras wa kuchonga ili ionekane ccm wanapambana na madawa.Mwakyembe kamkamate idd azan na ridhiwan nyambaf we.
 
Back
Top Bottom