True Boy for u
New Member
- Aug 11, 2013
- 1
- 0
Hii ss tumekithiri kila anaekamatwa Mtanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh, kwa kweli kwa technique hii hata Mwakyembe asingeweza. Ndiyo maana mimi nilisema Mwakyembe anatuchezea akili. Yeye anataka kupambana na wanaopitisha pale uwanja wa ndege, wakati Rais anawatibu wabwia unga?Alipita uwanja gani?mwakyembe upo?
huyu jamaa nae yani unapeleka spare part hong khong lazima udakwe
young stunna .mimi kwa mtazamo wangu mwakyembe hausiki kwa hili kwani pale kuna polisi anayelinda na kukagua kwani lazima watakuwa na intel so polisi wapo wapi ilo ndio lingekuwa swali la msingi?
Yuko busy kunusuru kipigo cha 8-0 Bukoba maana ni fedheha kwa chama kuliko huo unga.JK kimyaaa kama hasikii vile!
mmmmh
hivi watanzania tumerogwa na nani? Looh!!!!
Uvivu ndo umetuzidi,
sie tunaolima mnatuona kama tumechangayikiwa
nyie mwataka za haraka,
haya tutaona chama hapa je.
Mmmmh
Hivi watanzania tumerogwa na nani? Looh!!!!
Yeye kama rais anatakiwa aonyeshe juhudi zake binafsi sio kujikita kualika mateja ikulu na kuhangaikia matokeo ya madawa ya kulevya kuliko kukinga.Wewe ulitaka afanye nini?
Mmmmh
Hivi watanzania tumerogwa na nani? Looh!!!!
Kweli mkuu hii mbinu hata mtoto mdogo angeishtukia! Nchi iliyoendelea kama Hong Kong kuagiza gea kutoka Tanzania? Ni arobaini za mwizitu zilitimia!huyu jamaa nae yani unapeleka spare part hong khong lazima udakwe
Nami nina wasiwasi huo mkuu, na ikichukuliwa kwamba kwa Watanzania kuingia HongKong ilikuwa rahisi maana hata visa + permit ilikuwa unaipata airport