Abiria waliokuwa kwenye Nyambizi ya Titan wakitalii kwenye mabaki ya Meli ya Titanic wafariki dunia


Hiyo haikuwa safari ya kiimani, ni scientific exploration. Hiko chombo si cha kwanza na wao si kwanza, wapo ambao wameenda na wakafika na wakafanikiwa kurudi bila tatizo lolote.

Event kama hizi huwa zinatokea lakin haziwanyimi kuendelea.

Waliotengeneza ndege za kwanza walifanya trial kibao, ktk hizo trial walipoteza watu mwisho wa siku wakaweza na leo dunia inatembelea uvumbuzi wao.
Walikuwa hawamuamini Mungu?
 
nimekusoma kwa mbaaaaali …

yaani ni kama ulale kwenye shimo refu watu waanze kumwaga udongo juu yako ina maana jinsi wanavozidi kuongeza udongo na uzito ndivo unaongezeka.

nimepatia Mwalimu ?

Kama hivyo sasa
 
duuh sasa hata miili yao itapatikana kweli??? haya maishaa bhanaa unakuwa tajirii mkubwa mwisho wa uhai wako hata mwili wako haupatikaniii unapotea as IF YOU NEVER EXIST AT ALLL...fucck life

Mkuu, hakuna kitachopatikana....! In less than a minute walikuwa vipande vipande!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…