Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
hawa wazungu wamekufa kijinga walipaswa kumwamini Mungu yupo,sababu hasa ya kuzama kwa meli ya titanic miaka hiyo ni kibri ya babu zao kupongezana kwamba hii meli ilivyotengenezwa kwa ustadi mkuu hata Mungu hawezi kulizamisha, muda mchache tu baadaye ngoma ika-immersed completely
Hiyo haikuwa safari ya kiimani, ni scientific exploration. Hiko chombo si cha kwanza na wao si kwanza, wapo ambao wameenda na wakafika na wakafanikiwa kurudi bila tatizo lolote.
Event kama hizi huwa zinatokea lakin haziwanyimi kuendelea.
Waliotengeneza ndege za kwanza walifanya trial kibao, ktk hizo trial walipoteza watu mwisho wa siku wakaweza na leo dunia inatembelea uvumbuzi wao.
Walikuwa hawamuamini Mungu?