About to fall in a trap

Wanawake kama hawa wapo.

Mmoja aliniambia anaona hanifai coz nimekaa kama vile natarajia kumuoa. Nikamuuliza kisa nini? Akasema nacare kama vile namuandaa awe mke wangu.

Kazaliwa 2001.

Ni species hizi hizi
 
Hahahaha πŸ˜‚
 
HakikaπŸ“Œkufungwa kifungo Cha maisha na mtu kwasasa sitaki umri hujaniacha kwanza
Yeah kula maisha kwanza, explore the world, fanya starehe zote unazozipenda, ila hakikisha haufanyi makosa ya kuzaa kibahati mbaya (kama kweli una lengo la kuja kuwa na familia iliyonyooka hapo baadae)

Olewa au oa ukiwa umeshamaliza mambo yako ambayo unahisi ukiwa kwenye ndoa hutaweza kuyafanya (hasa wanawake kwa maana mwanamume anaweza akaoa na akaendelea kufanya mambo anayoyapenda ila mwanamke hawezi kwasababu anaenda kuwa controlled, sasa ili kuepusha migogoro ya ukinzani kwenye ndoa it's better ukaolewa ukiwa umemaliza mambo yako)

NB: ninaposema umalize mambo yako simaanishi uende ukaruhusu maungo yako yachakazwe na Kila mwanamume, halafu baadae ukishakubuhu ndio utafute mwanamume akuoe, hiyo si sawa.

Kwa maana mapenzi ni sehemu ndogo sana katika swala la uhuru so have fun but hakikisha unatunza utu wako (jikite kwenye mambo ambayo yatafanya uwe exposed na ulimwengu, kuliko yale yatakayokufanya uwe exposed na size mbalimbali).
 
Ngoja tuone
 
At least me and you are in the same boat
Hiki hiki ndicho nawaza achana na hawa washamba wananipondea na kuniita Malaya just because I want to.enjoy life and not ready to be committed to someone for a life time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…