Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
najaribu kuelewaI said I attract both
Sikiliza hapo..Unatka nifanyeje yet Sina hisia nae tena
I don't have feelings for him jmni
Hahahaha 😂Mallerina kwa mujibu wa huu uzi wako si upo chuo wewe?
Msaada kwa rafiki anayeuguza moyo uliovunjwa
Ivi kwanini wanaume hamna chembe ya huruma? Kuna mdada hapa hajui afanye Nini muda huu maana kaachwa na boyfriend wake.. Ni miezi kadhaa imepita ila naona Ile hali Bado inamsumbua...mwili wake umepungua mno na chuo kaacha kuja kabisa Ushauri nimempa ila naona bado haumsaidii..nimeleta huku...www.jamiiforums.com
Anakuoaje mwezi wa sita wakati utakuwa unafanya UE!!
Yeah kula maisha kwanza, explore the world, fanya starehe zote unazozipenda, ila hakikisha haufanyi makosa ya kuzaa kibahati mbaya (kama kweli una lengo la kuja kuwa na familia iliyonyooka hapo baadae)Hakika📌kufungwa kifungo Cha maisha na mtu kwasasa sitaki umri hujaniacha kwanza
Ngoja tuoneHabari zenu
Kuna mkaka nlimkubalia kuolewa nae nlipokuwa desperate na tulipanga ndoa iwe June ata kama wazazi upande wangu hawataki....
Aliona kama bahati na kunitambulisha kwao faster..ila baada ya kuheal na desperation( bila kumtumia yeye) naona uamuzi wa kumkubali haukua sahihi kwangu
He's a 10guy but to me he is a no sitakuwa na amani kabisa.. muda simpi red flags kama zote ila Bado haoni ...
Tatizo siwezi kumwambia sitaki ndoa nae maana expectations zote kaweka Kwangu akiamini Mimi ni wake
Njia sahihi ya kukataa ndoa pamoja na kumkataa yeye ni ipi tofauti na kumwambia sitaki Wala simtaki?
Nipo team #kataa ndoa📌
hunipi vibes za kuolewa kabisa. wewe ni wa dunia bado.I'm into men bt i also attract women
At least me and you are in the same boatYeah kula maisha kwanza, explore the world, fanya starehe zote unazozipenda, ila hakikisha haufanyi makosa ya kuzaa kibahati mbaya (kama kweli una lengo la kuja kuwa na familia iliyonyooka hapo baadae)
Olewa au oa ukiwa umeshamaliza mambo yako ambayo unahisi ukiwa kwenye ndoa hutaweza kuyafanya (hasa wanawake kwa maana mwanamume anaweza akaoa na akaendelea kufanya mambo anayoyapenda ila mwanamke hawezi kwasababu anaenda kuwa controlled, sasa ili kuepusha migogoro ya ukinzani kwenye ndoa it's better ukaolewa ukiwa umemaliza mambo yako)
NB: ninaposema umalize mambo yako simaanishi uende ukaruhusu maungo yako yachakazwe na Kila mwanamume, halafu baadae ukishakubuhu ndio utafute mwanamume akuoe, hiyo si sawa.
Kwa maana mapenzi ni sehemu ndogo sana katika swala la uhuru so have fun but hakikisha unatunza utu wako (jikite kwenye mambo ambayo yatafanya uwe exposed na ulimwengu, kuliko yale yatakayokufanya uwe exposed na size mbalimbali).
Oohooooo,I'm into men bt i also attract women