bandeko andeko
JF-Expert Member
- Oct 20, 2021
- 1,080
- 2,143
ushamtumia kijana wa watu kuponya majeraha yako sasa unamuona si chaguo lako tena, kumbuka karma is always around.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora umuambie ukweli coz kuolewa ni kifungo na kwa Binti kama wewe bado hujaishi maisha yako kwa uhuru ni wazi mtasumbuana na jamaa hasa kama hamna vitu vingi vya kushare.Chuo atanisomesha Hilo halina tatizo
Hahaha,Nipo team #kataa ndoa📌
bora umuache tu kuliko uende kumtesa huko ndaniChuo atanisomesha Hilo halina tatizo
Yan akusomeshe huyo huyo ambaye humtaki?Chuo atanisomesha Hilo halina tatizo
Utasambaza hiyo mbususu waishenyente kwa masela wangapi ndo uje utulie?Habari zenu
Kuna mkaka nlimkubalia kuolewa nae nlipokuwa desperate na tulipanga ndoa iwe June ata kama wazazi upande wangu hawataki....
Aliona kama bahati na kunitambulisha kwao faster..ila baada ya kuheal na desperation( bila kumtumia yeye) naona uamuzi wa kumkubali haukua sahihi kwangu
He's a 10guy but to me he is a no sitakuwa na amani kabisa.. muda simpi red flags kama zote ila Bado haoni ...
Tatizo siwezi kumwambia sitaki ndoa nae maana expectations zote kaweka Kwangu akiamini Mimi ni wake
Njia sahihi ya kukataa ndoa pamoja na kumkataa yeye ni ipi tofauti na kumwambia sitaki Wala simtaki?
Nipo team #kataa ndoa📌
Huyo huyo usiyemtaka ndo atakusomesha, au kuna mwingine?Chuo atanisomesha Hilo halina tatizo
Utakuja kumtafuta walau akubali uwe mchepuko wake, wakati huo mbususu ishapoteza uwezo wa "kufinyia kwa ndani"Unataka niolewe nae sababu ya huruma