About to fall in a trap

About to fall in a trap

I'm a man. Pastor aliyetupa mafundisho ya ndoa 10 years ago alisema, ni afadhali kuvunja uchumba kuliko kuvunja ndoa. Japo utalaumiwa, lakini kwa upande mwingine unamsaidia sana mwanaume mwenzetu. Imagine miaka ambayo angeteseka....
Njia rahisi but effective ninayoikubali ni kumvizia afanye kosa. Hakuna binadamu mkamilifu, atakukosea tu. Mara baada ya kosa unakandamiza hapo, unagomea kutoa msamaha. It worked all the time. Of course hao wote nilikuja kuwarudisha kuwa marafiki miaka mingi baadae
 
1738430659798.jpg
Serious!!!
 
Habari zenu

Kuna mkaka nlimkubalia kuolewa nae nlipokuwa desperate na tulipanga ndoa iwe June ata kama wazazi upande wangu hawataki....

Aliona kama bahati na kunitambulisha kwao faster..ila baada ya kuheal na desperation( bila kumtumia yeye) naona uamuzi wa kumkubali haukua sahihi kwangu

He's a 10guy but to me he is a no sitakuwa na amani kabisa.. muda simpi red flags kama zote ila Bado haoni ...

Tatizo siwezi kumwambia sitaki ndoa nae maana expectations zote kaweka Kwangu akiamini Mimi ni wake


Njia sahihi ya kukataa ndoa pamoja na kumkataa yeye ni ipi tofauti na kumwambia sitaki Wala simtaki?

Nipo team #kataa ndoa📌
Utasambaza hiyo mbususu waishenyente kwa masela wangapi ndo uje utulie?

Nyie ndo mkishafika third floor mnaanza kutusumbua vijana wakati ujana wenu mmeutumia vibaya too selective.
 
Usiogope,we mchane tu...tunapona chap sikuhizi
Ni kheri aumie muda huu kuliko kuumia ukimkataa siku ya harusi

Yaan usiogope,mbona nao huwa wanatuchinjia baharini ...Mchane,ataponea kwake🤒
 
Back
Top Bottom