Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatka nifanyeje yet Sina hisia nae tenaUtasambaza hiyo mbususu waishenyente kwa masela wangapi ndo uje utulie?
Nyie ndo mkishafika third floor mnaanza kutusumbua vijana wakati ujana wenu mmeutumia vibaya too selective.
I don't have feelings for him jmnibora umuache tu kuliko uende kumtesa huko ndani
better safe than sorry
ila unatengeneza bomu litakaloenda kulipukia wanawake wenzako
Life is not a movie 😋Utakuja kumtafuta walau akubali uwe mchepuko wake, wakati huo mbususu ishapoteza uwezo wa "kufinyia kwa ndani"
Moyo ataumia ndo nahofia kwanza hayupo romantic neither a provider..Usiogope,we mchane tu...tunapona chap sikuhizi
Ni kheri aumie muda huu kuliko kuumia ukimkataa siku ya harusi
Yaan usiogope,mbona nao huwa wanatuchinjia baharini ...Mchane,ataponea kwake🤒
Know that,one day u will pay the price for ur action.Thats my talent😹😹
Inaonekana yule aliyekupa ile depression ndo ulikuwa una hisia nae sio?Unatka nifanyeje yet Sina hisia nae tena
I don't have feelings for him jmni
Life is not a movie 😋
Moyo kuumia kawaida...mwishowe tunapona mbonaMoyo ataumia ndo nahofia kwanza hayupo romantic neither a provider..
Ntamchana tu someday
Kwa lugha uliyoitumia hapa,inaonekana kabisa kua Mungu ameamua kumuokoa huyo mkaka kwa kiumbe kama wewe,Moyo ataumia ndo nahofia kwanza hayupo romantic neither a provider..
Ntamchana tu someday
Litulipukie tu,dunia ni uwanja wa vita...ila unatengeneza bomu litakaloenda kulipukia wanawake wenzako
Hakika📌kufungwa kifungo Cha maisha na mtu kwasasa sitaki umri hujaniacha kwanzaBora umuambie ukweli coz kuolewa ni kifungo na kwa Binti kama wewe bado hujaishi maisha yako kwa uhuru ni wazi mtasumbuana na jamaa hasa kama hamna vitu vingi vya kushare.
Bestie, hakikisha unaolewa kabla haujafikisha miaka 30 la sivyo kuna possibility kubwa ya kuwa single mother.My bestie that wasn't me
Sasa unaolewaje kama wewe ni biBoth cz I attract both genders
Na si ndio🤣
Hayaendi unavyofikiriKwa lugha uliyoitumia hapa,inaonekana kabisa kua Mungu ameamua kumuokoa huyo mkaka kwa kiumbe kama wewe,
Unaweza kuona kua wewe ndio humtaki ila Mungu ndio kaamua kumuokoa Kijana wa watu asijiingize kwa mtu kama wewe.