Abrahim Ajib awakatia Tamaa mashabiki wa Mpira

Mara nyingi watu wenye talanta huwa ni wa kusukumasukuma. Ninahisi Ajibu hana upepo! 🙌
 
Kwani yanga huwa kuna nini mbona watu humaliza kimatatizo sana.
Yanga ndiyo kilele cha mafanikio kwa mpira wa Bongo. Ukitoka Yanga unatakiwa kwenda nje ya nchi, kama alivyofanya Simon Msuva.

Ukitoka Yanga na kwenda timu mdogo kama Mikia fc au Azam fc, nk lazima tu ufulie. Kwa uchache tu (Ibrahimu Ajib, Gadiel Michael, Frank Domayo, Bernard Morrison, Benno Kakolanya na wengineo wengi! Wote viwango vyao vilibakia kuwa vya kawaida, baada ya kuondoka Yanga wakiwa ni wa moto kweli kweli.

Na sasa Feisal Salum "Fei Toto" naye anaelekea huko huko! Muda si mrefu atabakia tu kuwa ni historia.
 
Hivi huwa ukiwa shabiki wa Yanga lazima nati zicheze?
 
Yanga ndiyo kilele cha mafanikio kwa mpira wa Bongo. Ukitoka Yanga unatakiwa kwenda nje ya nchi, kama alivyofanya Simon Msuva.

Ukitoka Yanga na kwenda timu mdogo kama Mikia fc au Azam fc, nk lazima tu ufulie. Kwa uchache tu (Ibrahimu Ajib, Gadiel Michael, Frank Domayo, Bernard Morrison, Benno Kakolanya na wengineo wengi! Wote viwango vyao vilibakia kuwa vya kawaida, baada ya kuondoka Yanga wakiwa ni wa moto kweli kweli.

Na sasa Feisal Salum "Fei Toto" naye anaelekea huko huko! Muda si mrefu atabakia tu kuwa ni historia.
Huwa mnawasha lile jiko la mkaa halafu mnachukua mguu wa ng'ombe wa mbele mnauchoma mpaka uteketee kisha mchezaji akienda aendapo yanamkuta.ALISIKIKA MZEE MMOJA WA KAMATI YA WATU WA SIRINI YA YANGA PALE NIYONZIMA ALIPOTIMKIA SIMBA.os kov tumewaelewa.
 
Yanga ni brand kubwa respect ni lazima ukizingua tunakuzingua double.
Simon Msuva kaondoka na barka zote mbona Yanga hatuna nongwa nae, Kisinda aliondoka vizuri na karudi.
Sisi hatutaki mchezaji kujifanya mjuaji lazima anyooshwe!
Wanyoosheni mpaka wakome ila msiwanyooshe huku mkilalama.wanyoosheni kimya kimya vinginevyo wote mtaonekana walalamishi tu.
 
Back
Top Bottom