Absalom Kibanda akamatwa!

Absalom Kibanda akamatwa!

Hizi ni kelele za mfamaji,wataweza kuwakamata watanzania wote.Waache kuwajengea raia hofu.
 
Duuu!!!! CCM kama THT yaani wanaongoza kwa kuibua vipaji vya wanasiasa.Inakoelekea huyu A.KIBANDA atakuwa mtu maarufu kama SLAA, ZITO MBOWE NA LEMA.CCM sasa wamezamilia kuibua kipaji cha KIBANDA na wanaweza kukipaisha kwa kasi ya ajabu.Subilini muone.
 
Mr. Zero,

Nilichosaini ni "Taarifa kwa Vyombo vya Habari" ambayo ilitoa kwa umma masuala mawili ambayo tulikubaliana. Hatukukubaliana Rais asaini ile sheria, kwa kuwa suala la kusaini au kutokusaini ni kwa kadiri mamlaka yake ya katiba ibara ya 97 na ibara ya 37 inatamka bayana kwamba Rais halazimiki kufuata ushauri wa mtu yoyote.

Na sababu moja wapo ya kumueleza Rais asisaini kati ya nyingi ambazo zilielezwa kwa kina kwenye waraka kwa Rais ni hilo la kuwepo kwa kifungu cha kifungo cha hadi miaka saba au faini ya hadi milioni 15 au vyote kwa kukusanya maoni au kutoa elimu kuhusu mabadiliko ya katiba kwa kile kilichoelezwa kuwa kinyume na sheria husika.

Baadhi ya masuala ambayo umeyauliza tayari nilishayatolea majibu kwenye mkutano na wanahabari baada ya Rais kusaini sheria husika unaweza ukaingia www.chadema.tv utapata sehemu ya majibu.



JJ
Hapo ndipo magamba wanajichanganya eti makubaliano sentensi mbili? Mkuu JJ asaante kwa ufafaunuzi hope kundi la Kina Zero watakuwa wameelewa! ni taarifa ya Vyombo kwa Habari Only. Magamba wameyakuza ila Ukweli unabaki palepale!
 
mwisho watasema walisoma makala ya mwigamba wote wakamatwe!
 
kwani Mapolice wamekuwa Jukwaa la wahariri? ama MCT wame-kuwa wahariri na kujua habari ipi ina uchochezi na ipi haina? ok police wamekuwa HABARI MAELEZO? ama MCT duh!
 
Hawawezi kupora haki ya watz kuhabarishwa. wachochezi ni wabunge wa ccm. A. kibanda ataibuka shujaa!!!! Tupo pamoja nawe kamanda.

Kama Kibanda ni shujaa basi nchi hii haina mashujaa. Si ni Hutu Kibanda kuwadi wa mafisadi? Si ni huyu Kibanda ambaye kila leo yuko na Fred Lowassa akifadhiliwa na kuanzisha majarida yatakayozima moto wa mapambano dhidi ya ufisadi. Au Kumtukana Rais kila toleo na hasa kila jumatano ndiyo ushujaa! Nitafurahi nikimuona anatinga kizimbani
 
Kama Kibanda ni shujaa basi nchi hii haina mashujaa. Si ni Hutu Kibanda kuwadi wa mafisadi? Si ni huyu Kibanda ambaye kila leo yuko na Fred Lowassa akifadhiliwa na kuanzisha majarida yatakayozima moto wa mapambano dhidi ya ufisadi. Au Kumtukana Rais kila toleo na hasa kila jumatano ndiyo ushujaa! Nitafurahi nikimuona anatinga kizimbani
Tiote, naogopa kupewa ban mkuu!
 
Aisee!! Hii imekaa vibaya sana...nadhani wanauwasha moto na sijui watauzimaje...well,lets wait and see!!
 
[h=2][/h]
quote_icon.png
By Mwita25
Another flagrant example of abridgement of freedom of speech.






Duh!Mzee wa ngeli kweli umeamua kugeuka, Mungu akulinde usije ukakengeuka tena


hilo nalo neno polepole tuu tutafika kwani hata manabii hupata tabu na dhihaka katika kujenga imani au kubadili imani ya mtu walishindwa mpaka wengine walifanya miujiza kama yesu lakini hawakumuamini mpaka pale walipo ukosa mwili wa marehemu kaburini ndio wakanena ni kweli huyu alikuwa bwana...
 
'mwenyekiti asiyejua kujenga hoja, udhaifu kwenye maamuzi, kwenye mchakato wa ndani ya chama 2005 na kundi lake walikuwa wakisuka mipango ya kuhamia chadema kama j.k angetoswa' - A. Kibanda

bwana visasi kama kawaida yake
 
Ni lini mhariri wa UHURU atakamatwa kwa uchochezi?

Siku nchi ikishakombolewa na kurudishwa mikononi mwa wenyewe!!

Kwa sasa huyo ni passage way ya mafisadi. Kumgusa ni sawa na mafisadi wenyewe kujipeleka kwa Kova!!
 
Huyu kibanda juzi kateuliwa na Nchimbi kuwa mjumbe wa kamati ya kutafuta mavazi la taifa.Unajua kibanda yumo kwenye kambi ya kumpigia kampeni lowasa kwa hiyo gov inampa tahadhari mapema.
 
Kwa matukio haya.. Mwigamba na Kibanda kwenye mikono ya jeshi la polisi na hatimaye mahakamani makala muhimu iliyopaswa kusomwa na watanzania wengi sasa inasoko kuliko siku ilipoingia mtaani.. viva "mwema & co." sisi tunachanja mbuga
 
Rais 'Shake well b4 use'. Kwa hiyo anajaribu udikteta alousema na wale wazee wa mabusha?
 
[h=6]John Heche

[/h][h=6] tunalaani kitendo cha polisi kumkamata mhariri mtendaji wa gazeti la Tanzania daima, kitendo hiki ni dola kujaribu kutumia polisi kutishia waandishi ili waogope kusema maovu ya serikali ya ccm.[/h]
 
Yule Mhariri wa Daily News aliyesema Dr.Slaa hawezi kuwa Rais 2010 kama sijakosea si ndio huyo Clement Mshana Mkurugedzi wa TBC???
 
Yule Mhariri wa Daily News aliyesema Dr.Slaa hawezi kuwa Rais 2010 kama sijakosea si ndio huyo Clement Mshana Mkurugedzi wa TBC???
Na mwenyekiti wa bodi ya Daily News alikuwa Wilson Mukama. u can connect the dots now!!
 
SOKOMOKO LA ABSALOM KIBANDA NA MAKALA KWA WASOMAJI WAKE:
NI WAKATI GANI HUO HASA AMBAPO HABARI NA AU MAKALA INAPOTAFSIRIWA KUHAMA TOKA KATIKA HUO ULIMWENGU WA KAWAIDA NA SASA KOUNEKANA KUPGA HODI KATIKA ULIMWENGU MWINGINE MPYA HUO UNAOITWA 'UCHOCHEZI' NA NANI ANAPASWA KUTOA MADAI KAMA HAYO?

Ni wakati gani habari au makala inapovuka toka kwenye ulimwengu wake wa kawaida kusomwa na umma hadi pale ambapo sasa inapoanza kuingia katika ulimwengu mwingine tofauti unaoitwa UCHOCHEZI?

Na ni nani huyo mwenye mamlaka gani kisheria nchini anayeruhusiwa kutoa tafsiri kama hiyo, wakati gani, wapi na kwa mtindo upi ili HAKI iweze kutendeka na vile vile kuhisiwa kutendeka kwa ukamilifu wote kwa upande wa mleta madai ukilinganisha na ule upande wa mtoa habari?

Wanasheria humu hebu nisaidieni kwa swali langu hili?
 
Back
Top Bottom