Kibanda anafanya kazi ya Boss wake Mbowe, Mbowe na Slaa wamekwishanunuliwa na Rostam na Lowasa, mashambulizi wanayaelekeza kwa watu waliohusika kuwadamage Lowasa na kundi lake, Lowasa alipofanya mkutano na waandishi hakuna kiongozi yoyote wa CDM aliyecounter attack hoja zake isipokuwa CUF.
Kibanda ni muajiriwa wa Mbowe, anaandika kitabu cha ufisadi wa Sitta ili iweje? coz ni lazima kuwe na sababu ya yeye kufanya hivyo, then what? ameshindwa kuanza na cha Rostam na Lowasa?, la hasha ni vile ametumwa kufanya kazi ya Boss wake Mbowe. Simtetei Sitta, ni kweli anaweza kuwa na makosa yake ya kifisadi kama yapo, lakini je yanalingana na ya lowasa na rostam?
Watu wanapigana kwa bidii dhidi ya ufisadi lakini sasa viongozi wa CDM na washirika wao ndio wamekuwa ngao ya mafisadi wakuu, angalia siku hizi gazeti la mwanahalisi linalomilikiwa na mkurugenzi wa fedha na utawala wa CDM linavyomuandama Sitta, Lowasa siku hizi wala haguswi, na mkakati wenu ni kumwingiza lowasa ikulu, kama Mungu anaishi Lowasa hastahili kuwa rais hata siku moja, jizi hilo ndio linasababisha mchafue watu coz of money?
kweli mtanzania ana kazi kujikomboa.