Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,265
- 4,735
Na tutakuwa tumejifunza juu ya madhara ya kuwa na viongozi wanafki kama Sita.
Umeandika mambo ya msingi sana ingawa nataraji wengi watakushambulia humu jukwaani.
Papara za Sitta et. al. ndizo zimesababisha tufike hapa. Hivi hakukuwepo uwezekano wa kuvunja mkataba baada ya majadiliano na maridhiano kati ya pande husika?
Pengine tukiwalipa DOWANS tutabaki na funzo la kutoingiza siasa kwenye mambo ya kisheria siku zijazo.