Umeandika mambo ya msingi sana ingawa nataraji wengi watakushambulia humu jukwaani.
Papara za Sitta et. al. ndizo zimesababisha tufike hapa. Hivi hakukuwepo uwezekano wa kuvunja mkataba baada ya majadiliano na maridhiano kati ya pande husika?
Pengine tukiwalipa DOWANS tutabaki na funzo la kutoingiza siasa kwenye mambo ya kisheria siku zijazo.
Huyu Abasalomu ni kilaza kuliko maelezo. Naona anafuata mkumbo wa kina Kubenea ili na yeye aingie kwenye payroll ya RA na LA. Kweli hatuna waandishi kabisa ila waganga njaa tu.
Wadau mtaona kama watu wengine tunamtetea Sitta ama tunampenda sana, no ila kutoka sasa mpaka kufikia ccm kumpata mgombea atakaemrithi kikwete tutaona na kuyasikia mengi sana kutoka kwa hawa wahariri wetu.huyu naye kanunuliwa na nani? japo sita ni fisadi lakini sio katika extent ya kuandikiwa kitabu huku mafisadi papa wakipeta
Haya mambo na haya majamaa yanachanganya kweli kweli. Hivi kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kulinganisha ufisadi wa Sitta na ule wa Lowassa?
Mkuu mwenzangu Kibanda sijaelewa kilichokusibu ukapiga bonge la U-turn. Tuambizane tusijegeuziana silaha sisi kwa sisi. Kweli Sitta na Mwakyembe ndiyo waliomuokoa Kikwete akawapa Uwaziri. Lakini bado Sitta hajafikia hata kiatu cha Lowassa na Jakaya kwa ufisadi.
Kibanda ukiandika kitabu kuhusu uchafu wa Sitta basi nakumbushia unichapishie na changu juu ya ufisi wa Lowassa. Nadhani unakikumbuka kitabu changu cha NYUMA YA PAZIA ambacho mchapishaji wangu aligwaya kukichapisha na wengine wengi likiwemo Tanzania Daima, pamoja na kuliandikia, kukataa kuki-serialize.
Umeandika mambo ya msingi sana ingawa nataraji wengi watakushambulia humu jukwaani.
Papara za Sitta et. al. ndizo zimesababisha tufike hapa. Hivi hakukuwepo uwezekano wa kuvunja mkataba baada ya majadiliano na maridhiano kati ya pande husika?
Pengine tukiwalipa DOWANS tutabaki na funzo la kutoingiza siasa kwenye mambo ya kisheria siku zijazo.
Nakubaliana nawe mkuu!Inawezekana kabisa Mh Sitta sio msafi lakini kwa mwandishi wa habari/mwenyekiti wa jukwaa la wahiriri kutoa matamshi aliyotoa ni nje kabisa ya mipaka ya taaluma yake - very unethical. Kama kweli Kibanda anataarifa za ufisadi wa Sitta kwanini kama mwandishi asifanye kazi yake -aandike hizo habari? Alizipata lini hizo habari za Sitta? Pia Kibanda ana taarifa za ufisadi wa watu wengine mbali ya Sitta? Why Sitta and not others? Mimi naona kama Kibanda anatishia wanasiasa hapa, kwamba ukiwa karibu naye hata kama utafanya madudu atakaa kimya lakini mara unapokuwa upande wa pili atatoa habari zako. Na ukiangalia makala za Kibanda ni wazi utaona yuko upande gani.
Nategemea baada ya kuandika kitabu kuhusu ufisadi wa Sitta utaandika pia vitabu kwa mafisadi papa. Hapo ndio tutaona hujanunuliwa. Lakini kama ni kitabu cha Sitta peke yake tutaendelea kuamini wewe ni mwandishi uchwara.
Huyu Abasalomu ni kilaza kuliko maelezo. Naona anafuata mkumbo wa kina Kubenea ili na yeye aingie kwenye payroll ya RA na LA. Kweli hatuna waandishi kabisa ila waganga njaa tu.
Wadau mtaona kama watu wengine tunamtetea Sitta ama tunampenda sana, no ila kutoka sasa mpaka kufikia ccm kumpata mgombea atakaemrithi kikwete tutaona na kuyasikia mengi sana kutoka kwa hawa wahariri wetu.
Kibanda antumiwa na Lowassa siku nyingi kabla hata ya kubenea,suala la yeye kutumiwa na lowassa lilikua likimkera hata kubenea mwanzo kiasi mpaka cha kufikia kujaribu kumchongea kwa bosi wake mh.freeman mboe ambae mara zote amekua akimtetea kibanda kwa kusema yeye amewaachia uhuru na hawaingilii wahariri wake japo nayeye anahisi kibanda anatumiwa na mafisadi.
Sina uhakika na taarifa za hicho kitabu ila kama kweli kipo huo ni mkono wa Lowassa hakuna jingine,kwani mwanzo ilikua Lowassa aanzishe gazeti na kibanda awe mhariri wa hilo gazeti, mpango ambao naamini haujafa kwa kuwa kila kitu kilikua kimekamilika ikiwemo mpaka ofisi pamoja na furniture za ofisi, sasa labda Lowassa amaeona kitabu ndio kitafaa zaidi na kwa jeuri ya pesa ya mafisadi kina lowassa si ajabu hicho kitabu kikawa kinagawiwa bure, tusubiri tuone, lakini watanzania tuwe makini sana na waandishi hawa nitakaowataja kwenye list of shame ya wahariri wa bongo:
1: Said Kubenea
2: Absalom kibanda
3: Jacton Manyerere
4: Deo Balile
5: Muhingo Rweyemamu wa mtanzania (siku hizi nasikia pia ni afisa habari wa Manji)
Hii ndio tano bora ya wahariri hatari na wenye uchu wa ajabu wa kujengewa nyumba na mafisadi hapa nchini.Hawa jamaa wameahidiwa donge nono kama watamsaidia Lowassa kuingia ikulu, kama ilivyokuwa Salva Rweyemamu alipokua Rai kipindi kile akifanya kazi ya kumsafishia njia jk kwa kuwachafua washindani wake, basi na hawa watano wako kwenye payroll ya Rostam na Lowassa kuhakikisha Lowassa anaingia ikulu, tuombe uzima, haya mtakuja kuyakumbuka huko mbele.
Eti atatunga kitabu!!!!!!!!!!!!!
Haya mambo na haya majamaa yanachanganya kweli kweli. Hivi kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kulinganisha ufisadi wa Sitta na ule wa Lowassa?
Mkuu mwenzangu Kibanda sijaelewa kilichokusibu ukapiga bonge la U-turn. Tuambizane tusijegeuziana silaha sisi kwa sisi. Kweli Sitta na Mwakyembe ndiyo waliomuokoa Kikwete akawapa Uwaziri. Lakini bado Sitta hajafikia hata kiatu cha Lowassa na Jakaya kwa ufisadi.
Kibanda ukiandika kitabu kuhusu uchafu wa Sitta basi nakumbushia unichapishie na changu juu ya ufisi wa Lowassa. Nadhani unakikumbuka kitabu changu cha NYUMA YA PAZIA ambacho mchapishaji wangu aligwaya kukichapisha na wengine wengi likiwemo Tanzania Daima, pamoja na kuliandikia, kukataa kuki-serialize.
Samuel Sitta ni mtu mwenye utata haeleweki yupo upande gani
siamini kama hujui ubovu wa sittahuyu naye kanunuliwa na nani? Japo sita ni fisadi lakini sio katika extent ya kuandikiwa kitabu huku mafisadi papa wakipeta
lowassa na Rostam walishamalizwaKibanda anafanya kazi ya Boss wake Mbowe, Mbowe na Slaa wamekwishanunuliwa na Rostam na Lowasa, mashambulizi wanayaelekeza kwa watu waliohusika kuwadamage Lowasa na kundi lake, Lowasa alipofanya mkutano na waandishi hakuna kiongozi yoyote wa CDM aliyecounter attack hoja zake isipokuwa CUF.
Kibanda ni muajiriwa wa Mbowe, anaandika kitabu cha ufisadi wa Sitta ili iweje? coz ni lazima kuwe na sababu ya yeye kufanya hivyo, then what? ameshindwa kuanza na cha Rostam na Lowasa?, la hasha ni vile ametumwa kufanya kazi ya Boss wake Mbowe. Simtetei Sitta, ni kweli anaweza kuwa na makosa yake ya kifisadi kama yapo, lakini je yanalingana na ya lowasa na rostam?
Watu wanapigana kwa bidii dhidi ya ufisadi lakini sasa viongozi wa CDM na washirika wao ndio wamekuwa ngao ya mafisadi wakuu, angalia siku hizi gazeti la mwanahalisi linalomilikiwa na mkurugenzi wa fedha na utawala wa CDM linavyomuandama Sitta, Lowasa siku hizi wala haguswi, na mkakati wenu ni kumwingiza lowasa ikulu, kama Mungu anaishi Lowasa hastahili kuwa rais hata siku moja, jizi hilo ndio linasababisha mchafue watu coz of money?
kweli mtanzania ana kazi kujikomboa.
hicho kitabu utasoma mwenyewe na mke wako. Hatutaki wanafiki katika dunia ya SASA tupo tayari kupindua nchi lakini siyo kuwapigia debe mafisadi.Nchi tutaikabidhi iongozwe Kijeshi wakati tunaanda Demokrasia ya Kweli..........................Hata walikuchagua kuwa M/kiti inabidi wajipime vizuri