chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,694
- 4,954
endeleeni kuruka sarakasi na taulo mbele ya wageni.hata ulimboka mlianza kurusha maneno kwa cdm.mwisho wa ubaya aibu.
hapa jukwaani hata mtu akisema binadam ana miguu saba atapata wajinga wanaomuunga mkono.
Samahani kuuliza, huyu jamaa alikuwa kibaraka wa CCM ama CDM?
hana chama .....mwenye kujua atuwekee kadi namba na chama chake
Mungu ampe kupona haraka mpiganaji.
Na hao wadhalimu waliomfanyia hivyo Mungu akawaangazi.
Narudia. Freeman Mbowe na Godbles Lema wanajua walichomfanya Kibanda.
Mafia wa Tanzania Daima hao, si alitoka huko kwa shari.
Hivi CCM kila kosa CDM si wakifute sasa propagaganda nyingine bwana hata mnashangaa so siku hizi lumumba ndio wasemaji wa usalama wa taifa....mimi kuzaliwa tanzania....huu ushetani mwingine ....
Sasa ndo wamfanye binadamu mwenzao hivyo. Kwani si alikuwa na hiyari yake ya kuondoka km hakuridhika na mazingira ya kazi.
Malipo ni hapa hapa. Mungu atamlipia.
Kwa mtanzania kutokuwa na chama si rahisi. Kama ni kibaraka wa CCM basi CDM wamfanyia, na kama ni kibaraka wa CDM basi CCM wamemfanyia.
Mkuu kumbe wewe hujua maana ya Mafia? hizo ndo kazi zao, kulipiza visasi, vinyongo vinyongo na upuuzi mwingine kama huo
Narudia. Freeman Mbowe na Godbles Lema wanajua walichomfanya Kibanda.
tuko makini sana mkuu usitake kututoa kwenye ukweli kiujanja ujanja,tanzania daima na waajiri wake wa mwanzo hamtoki katika hili.tumieni janja nyingine sio hii ya kuitpia serikali.
Hii inawezekana tu kwa nchi inayoongozwa kwa prpaganda na si sheri na sera za kujenga nchi....iweje serikali inayoongoza vyombo vya dora ising'amue hayo na kuzuia hayo maafa japo si kweli ni ktk kujenga hoja tu, je intelijensia ya akina kova na mabawabu wenzake inang'amuaga tu kwenye maandanmano hya chadema.........hii nchi ina laana na mimi nsema kwa ujinga wa watz kama ninyi na izidi kulaaniwa....mungu saidia ilaaniwe maana hakuna sasa wa kuwa nutral na kujadili mambo kwa upana wake wamebaki kuwa watumwa wa lumumbaNadhani hapa CDM inatajwa kwa sababu ndiye mmliki wa Tanzania Daima ambako KIBANDA alikuwa akifanyia kazi na kuondoka baada ya kutoelewana na wakubwa.
Mimi stashangaa, manake kama wanaweza kutangaza namba za simu za viongozi wa kiserikali ili watukanwe hili watashindwaje