It's Rama again..!!??
kwa jinsi tunavyoendelea
tanzania, kuna kila sababu ya kuamini siku ile ya national revolution
inakaribia kwa kasi.
na mimi naisubiri kwa hamu. tuhamishe madaraka kwa watakayoyaweza na
kutuhakikishia sisi wananchi usalama wetu na mali zetu na kutuwekea
mazingira bora ya maendeleo yetu.
umenikumbusha msiba wa Mh. Chacha Wangwe.Ukimuuliza FREEMAN MBOWE na GODBLESS LEMA. Watakwambia kilimchotokea Absalom Kibanda.
Na kwa kuwa wana wapambe wao humu ndani. Waambieni kwamba malipo ni humu humu duniani.
Viongozi wa CCM ni wanafiki sana,wanapiga wenyewe na pole wanatoa wenyewe,siku yenu ipo mtakuja kujuta tu kwa mnayoyafanya.Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri Mtendaji wa New Habari, Abdalom Kibanda, amekimbizwa Muhimbili baada ya kuvamiwa na kisha kujeruhiwa na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi.
Watu hao walimvamia na kumtoa katika gari kisha wakampiga kabla ya kumtupa na kumtelekeza umbali mdogo na nyumbani kwake.
Aliokotwa na majirani na kukimbizwa hospitalini Muhimbili kwa matibabu ya haraka.
Pamoja na kuumizwa hivyo, hakuna kitu hata kimoja kilichoporwa katika gari lake
Taarifa zaidi baadae...
pole sana ndugu Kibanda...haya mambo yalipoanzia kwa akina Kubenea watu hawakujali, mwishowe wakamuua Ulimboka mchana kweupe...hakuna hata mtu aliyewajibishwa!sasa waandishi na wapenda amani wajue kua akumulikae mchana... :nono:ucku akuchoma...sasa jiandae ili akija ucku..... :boink:
Viongozi wetu wamekuwa Mahiri kwenye kuhani misiba na kutembelea watu waliofanyiwa uharamia mahospitali na hata majumbani badala ya kuchukua actions za kusafisha maovu . Yaani wapo wapo tu utadhani ni jukumu la watu wengine kufanya nchi iwe mahali salama pa kukalika. Shame on them.Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri Mtendaji wa New Habari, Abdalom Kibanda, amekimbizwa Muhimbili baada ya kuvamiwa na kisha kujeruhiwa na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi.
Watu hao walimvamia na kumtoa katika gari kisha wakampiga kabla ya kumtupa na kumtelekeza umbali mdogo na nyumbani kwake.
Aliokotwa na majirani na kukimbizwa hospitalini Muhimbili kwa matibabu ya haraka.
Pamoja na kuumizwa hivyo, hakuna kitu hata kimoja kilichoporwa katika gari lake
Taarifa zaidi baadae...
Kama msanii wa bongo fleva anaweza kumiliki silaha ya kujilinda, inakuwaje kwa wewe mwandishi wa habari?
Tena kutokana na mazingira ya kazi yako, hapana shaka kuna maadui lukuki wamekuzunguka kila kona?
Kuna haja ya kubadili mtazamo, kwa hili la ulinzi binafsi.
JM
......