Absalom Kibanda (Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri) avamiwa na watu wasiojulikana na kujeruhiwa

mchumia tumbo tu huyu. mnafiki na anayechangia kwa kiasi kikubwa kuharibu profession ya uandishi nchini...hii ni dawa ya unafiki, bado yule Bagenda.
 
mmmh yule mkenya wa kova ametoroka rumande? Icje kuwa walimuachia kwa sababu ni chizi na ndo ameanza tena
 
Polisi waanze uchunguzi na gazeti la tanzania daima na chadema. kwani hatuelewi ni kwanini alikimbia huko alipokuwa mhariri wa hilo gazeti la mwenyekiti wa chama.

Mmefanya hivyo ili kupoza suala la matokeo ya form iv enh,hatudanganyiki"!!!!!!
Unajidanganya utapatikana tu"
 
Mambo ya visasi ni magumu sana mkuu, huyu KIBANDA alitimuliwa kule Tanzania daima, sasa kama kuna misuguano imeendelea kuwepo baina yake na huyo mwajiri wake wa zamani lazima mambo kama haya yatarajiwe.
​Nina hakika huko nyuma kwako kunavuja ute!
 
Nafikiria ni magaidi wanahusika FBI baada ya kuondoka z'bar ufuate uchunguzi wa hilo tukio,sijui tz tunaelekea wapi ewe mungu tuepushe na mabalaa.
 

Halafu anadanganya kuwa Kibanda alitimuliwa wakati humuhumu JF kunapicha za Kibanda akiwaaga wafanyakazi na management. Na akaanglie facebook ya mzee wa Maswali Magumu ambaye ni mtendaji kwa sasa kuna picha za kumuaga. Mtanzania waliongeza siagi kama Tanzania Daima walivyoongeza siagi wakati kibanda yupo Mwananchi. So huu uzushi ni misleading na ni busara kwasasa tuwaachie polisi wafanye kazi hao japo nao uwezo wao ni issue
 
Mkuu mwamapalala hatukatai makosa ya kibinadamu lakini makosa ya makusudi yenye nia ya kupindisha ukweli ndo watu wanapoamua kutoamini kama kuna nia ya kupata ukweli refer ulimboka and mwangosi issues,serikali imetengeneza mazingira ya kutoaminika,Get Well soo bro!!!
 
sisi tunahesabu tu wanyakyusa wanvyo malizwa, kumbuka jaji mwakibete,prof mwaikusa,prof mwandosya,mwakyembe,ulimboka,mwangosi,mwakiteleko sasa abuu kibanda,tafakari!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
naye huyu mnyakyusa? mbombo ngafu!
 
mchumia tumbo tu huyu. mnafiki na anayechangia kwa kiasi kikubwa kuharibu profession ya uandishi nchini...hii ni dawa ya unafiki, bado yule Bagenda.

.....

Taratibu mkuu.
 
Yaani kukutajia tu Kiranga ghafla umeshajuwa na kuandika kwa Kiswahili!!?? kweli Kiranga ni tishio humu na ndio Dikishenari ya JF.

.....

Kukaa chini na kuanza kumsifia mwanaume mwenzako ndiyo tukuelewe vipi? Halafu eti unamsifia anajua kiingereza, una akili kweli wewe? Hicho kidume chako Kiranga kuna kilishaandika ''irregardless'' kikiwa na maana ''regardless'' halafu bado unajipendekeza tu. we kweli bonge la nabo.
 
eeeh mola wasaidie wanahabari wetu ambao wamekuwa mstari wa mbele kuandika ukweli lakini wamekuwa wakishambuliwa kwa lengo la kuwafunga midomo, siku moja kila kitu kitakuwa sawa, serikali imeshindwa kuongoza sasa wanatumia nguvu kuwanyamazisha watu
 
Maneno haya kila moja lina sifa zake na style ya utekelezaji wa hizo sifa: Jambazi, Jangili, Haramia, Mwizi, Kibaka, lakini inapokuja kwenye issue kama hii ilioletwa aliyetenda namuona hayumo kabisa kwenye makundi hayo, hawa ni wale wanaoitwa DUNGADUNGA hufanya mambo kwa sababu maalumu ya kulipiza kisasi kwa jambo ambalo liliwahitokea na kuwaumiza au hufanya vitendo hivi kwa ajili ya kuondoa vizuizi kwenye mambo yao ili yafanikiwe, aidha wao dungadunga au aliyewakodi kufanya kazi hiyo. Dungadunga wana style ya wale jamaa zetu wanapotekeleza kazi zao.
 
pole nyingi kwa Kibanda..... Mungu akujalie nguvu urudie hali yako na uendelee kuelimisha jamii.
 
Tusiwe wepesi wa kuchora mstali na kuhitimisha kwenye jambo linalohitaji fikra pevu na uchunguzi mpana.
Cha kufanya ni kumtakia heri huku uchunguzi ukiendelea.

Vipi kamanda Kova hajamkamata mkenya mwingine kwa tuhuma za kumteka Kibanda?
 
Wivu wa kike unakusumbuwa, Binadamu hasa Mwanamume wa kweli anapaswa kusifiwa na siyo wewe popoyo unayetaka kusifiwa wakati hakuna unalolijuwa kwenye hii Lugha ya Malkia na ushahidi ni kwamba Mwita52 alishindwa hata kujuwa Reputation power ni nini hapa JF mpaka ukaanzisha thread kuuliza swali la kijinga kabisa.

Wewe kujifanisha na Kiranga ni sawa na Mlima Kilimanjaro ( Kiranga) na Dada Radhia Sweet (kichuguu) ur nothing.
 
Vipi kamanda Kova hajamkamata mkenya mwingine kwa tuhuma za kumteka Kibanda?

Mkuu subiri mpaka kesho jioni safari hii mkenya tutamkamatia kanisani kwa mama rwakatale mana ndie mwenzetu atakubali kusema kama mkenya alikuwa anatubu,siunajua tena wakenya wapo wengi humu inchini wamekuja kupigia kura huku!
 

We kweli pimbi pori. Hivi ni wapi nimejifananisha na hicho kidume chako? Siyo wewe ndiye uliyeanza kukipromote hapo juu na kuanza kukipa sifa kedekede utadhani kinakununuliaga Caro Light. Sikia wewe changu mimi nimeanza kusoma Kiingereza huyo Kiranga wako anapiga debe stendi ya mabasi Musoma. Moja ya michango yangu ni kushiriki kwenye utungaji wa ''English for Primary Schools 3'' kwa kuandika baadhi ya hadithi za wanyama mle ndani. Sasa kiulize hicho kidume kimeshawahi kufanya kazi gani inayoonekana.
Kuhusu kuulizia maana ya Rep. power, sidhani kama utakuwa na akili kwa kujudge kupitia hilo na kusema sijui kiingereza. Kuna watu wengi walikuwa wanaulizia maana yake na mimi nikaona si vibaya kuwawakilisha. Isitoshe haikuwa ishu ya maana kivile, na mtu mwenye aklili timamu hawezi akakaa na kutumia kama kumbukumbu. Narudia tena wewe ni bonge la pimbi pori.
 
Namtakia afya njema. Hii Tanzania sijui tunaipeleka wapi jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…