Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polisi waanze uchunguzi na gazeti la tanzania daima na chadema. kwani hatuelewi ni kwanini alikimbia huko alipokuwa mhariri wa hilo gazeti la mwenyekiti wa chama.
​Nina hakika huko nyuma kwako kunavuja ute!Mambo ya visasi ni magumu sana mkuu, huyu KIBANDA alitimuliwa kule Tanzania daima, sasa kama kuna misuguano imeendelea kuwepo baina yake na huyo mwajiri wake wa zamani lazima mambo kama haya yatarajiwe.
Hivi Uzushi unakusaidia nini wewe Kibwengo? Kibanda ameacha kazi mwenyewe Freemedia na kufuata maslahi zaidi Habari Corporation, hata kama huna akili lakini tumia hizo chache zilizosalia kichwani kwako zinazokusaidia kukumbuka kwamba kuna kuvaa chupi na kuchamba baada ya kuhara.
Mkuu mwamapalala hatukatai makosa ya kibinadamu lakini makosa ya makusudi yenye nia ya kupindisha ukweli ndo watu wanapoamua kutoamini kama kuna nia ya kupata ukweli refer ulimboka and mwangosi issues,serikali imetengeneza mazingira ya kutoaminika,Get Well soo bro!!!<br />By OSOKONI<br />
Watu wana draw such simple conclusion kwa sababu chunguzi nyingi zinazofanyika hazitoa majibu sahihi ya tatizo husika au hazitoa jibu kabisa,.refer utekwaji wa dr.Ulimboka so far majibu ni yep? Kifo cha mwangosi so far jibu ni lipi? ndio mana kwenye case kama hizi speculations zinakuwa nyingi sana
Mkuu sijui una maana gani unaposema MAJIBU SAHIHI. Tatizo watu wanakuwa tayari na conclusion zilizojengwa na theory or conjecture bila evidence, hata majibu sahihi (matokeo) ya chunguzi yanapotolewa na vyombo husika inakuwa ni vigumu kuamini. Tunahitaji jamii iwe na open eyes.<br />
Taasisi zinazochunguza siyo maraika kwa maana kuwa navyo vinaweza kufanya makosa ya hapa na pale katika chunguzi zao lakini haiwezi kuharalisha kila tukio jamii iwe na majibu bila uchunguzi mbadala.
naye huyu mnyakyusa? mbombo ngafu!sisi tunahesabu tu wanyakyusa wanvyo malizwa, kumbuka jaji mwakibete,prof mwaikusa,prof mwandosya,mwakyembe,ulimboka,mwangosi,mwakiteleko sasa abuu kibanda,tafakari!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
mchumia tumbo tu huyu. mnafiki na anayechangia kwa kiasi kikubwa kuharibu profession ya uandishi nchini...hii ni dawa ya unafiki, bado yule Bagenda.
.....
Mchumia tumbo tu huyu. mnafiki na anayechangia kwa kiasi kikubwa kuharibu profession ya uandishi nchini...hii ni dawa ya unafiki, bado yule Bagenda.
.....
Yaani kukutajia tu Kiranga ghafla umeshajuwa na kuandika kwa Kiswahili!!?? kweli Kiranga ni tishio humu na ndio Dikishenari ya JF.
.....
Tusiwe wepesi wa kuchora mstali na kuhitimisha kwenye jambo linalohitaji fikra pevu na uchunguzi mpana.
Cha kufanya ni kumtakia heri huku uchunguzi ukiendelea.
Wivu wa kike unakusumbuwa, Binadamu hasa Mwanamume wa kweli anapaswa kusifiwa na siyo wewe popoyo unayetaka kusifiwa wakati hakuna unalolijuwa kwenye hii Lugha ya Malkia na ushahidi ni kwamba Mwita52 alishindwa hata kujuwa Reputation power ni nini hapa JF mpaka ukaanzisha thread kuuliza swali la kijinga kabisa.Kukaa chini na kuanza kumsifia mwanaume mwenzako ndiyo tukuelewe vipi? Halafu eti unamsifia anajua kiingereza, una akili kweli wewe? Hicho kidume chako Kiranga kuna kilishaandika ''irregardless'' kikiwa na maana ''regardless'' halafu bado unajipendekeza tu. we kweli bonge la nabo.
Vipi kamanda Kova hajamkamata mkenya mwingine kwa tuhuma za kumteka Kibanda?
Wivu wa kike unakusumbuwa, Binadamu hasa Mwanamume wa kweli anapaswa kusifiwa na siyo wewe popoyo unayetaka kusifiwa wakati hakuna unalolijuwa kwenye hii Lugha ya Malkia na ushahidi ni kwamba Mwita52 alishindwa hata kujuwa Reputation power ni nini hapa JF mpaka ukaanzisha thread kuuliza swali la kijinga kabisa.
Wewe kujifanisha na Kiranga ni sawa na Mlima Kilimanjaro ( Kiranga) na Dada Radhia Sweet (kichuguu) ur nothing.