Absalom Kibanda (Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri) avamiwa na watu wasiojulikana na kujeruhiwa

Absalom Kibanda (Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri) avamiwa na watu wasiojulikana na kujeruhiwa

kweli nimeamini wewe ni jasusi, hata mambo ya uhai wa mtu unaleta siasa kwakuwa tu unachukia chadema. watu wataamini kwamba na wewe una maslahi na kupigwa kwa kibamba. acha chuki za kijinga hizo. utekaji haujaanza leo kwa wapigani nchi. ulimboka alipigwa naye utasemaje sasa. wewe unafikiri muda wote ni siasa tu
 
Unajua hizi game mara nyingine huchezwa hivi:-
Kibanda kama mwandishi wa habari aliwahi kuandika makala au taarifa ambazo hazikuwapendeza watawala na serikali kwa ujumla. Akavutwa kwenye mtego na maadui zake kwa ahadi za kupewa mwezi kwenye sahani.....naye akanasa.

Sasa wale wabaya wake walipomtenda wanajua lawama (focus) haitawagusa wao waliotenda kwani wako kimzuka zaidi (ghost). Ila wao kwa upande mmoja malengo yao wameyatimiza ya aidha kulipa kisasi au kumnyamazisha. Ndio maana utakuta watu kama Pasco wa JF anaweza kuwa sehemu ya spinning machine (kwa kuusoma uzi wake katikati ya mistari); kwani, sadly, wanadamu hawana wema!
 
Tusiwe wepesi wa kuchora mstali na kuhitimisha kwenye jambo linalohitaji fikra pevu na uchunguzi mpana.
Cha kufanya ni kumtakia heri huku uchunguzi ukiendelea.

.......

Uchunguzi gani unaoufahamu wewe wa kesi za hivi uliowahi kukamilika mkuu?
 
Wakati naweka comment yangu ya awali hiyo taarifa ilikuwa haijakamilika kama ilivyo sasa. Nadhani mleta maada ameiboresha baadaye, na tayari nimeshaisoma kwenye sources nyingine na kutambua kwamba hakuna walichochukua.

Na kilichonitisha zaidi ni eti wamemvamia getini wakati anaingia nyumbani kwake. Nashangaa sana, walitaka nini? Kumuua? Au kuna document walizifuata?

Tanzania si nchi salama kabisa ya kuishi hivi sasa. Maana dola inatumika kwa ajili ya kupambana na wanaoikosoa serikali badala ya kutumika kulinda maslahi ya nchi.

Kama hawajachukua chochote, pamoja ya kwamba walimchukua yeye binafsi na kwenda kumtelekeza kusikojulikana, ni dhahiri walinuwia kumuua.

Tayari waziri wa afya ndugu Hussein Mwinyi amekwenda hospitali kumjulia hali. Na hiyo ndiyo tabia yao. Tuna wakati mgumu sana hivi sasa.

.......

Poa kamanda, nshakupata. Mimi nilishasema kwenye kipachiko changu cha awali na makala yangu ndefu niliyoiweka hivi punde, "Tanzania si mahali salama kwa Wanahabari wajuao kutenda kazi kwa weledi. Tanzania si salama kwa kwa Wanaharakati"
 
Siku 2 kabla redio Imani Haijafungiwa kat ya saa 2 mpk 3 asubuh walikuwa na kipindi chao wakijadili zile tetesi za uwapo wa chuo kiislamu ktk kisiwa cha Ukerewe jjn Mwanza kinachofundisha mambo ya Ughaidi ambazo zilikuwa zimetolewa na gazeti la MTANZANIA.

ktk majidiliano yao na simu za wasilizaji walimtangaza Husein Bashe na Absolom Kibanda kama maadui wa uislamu na wanataakiwa kushughulikiwa kutokana Bashe kuruhsu habari hiyo ambayo Kibanda ndo alikuwa Mwandishi wake.
 
kuendelea kusema Tanzania nikisiwa cha amani ni uongo mbele ya Mwenyezi Mungu na kuwahadaa raia.Ingekuwa Somalia ningesema kutokana na kutokuwa na serekali muda mrefu ila hapa si hivyo matukio ni mengi na tume ni nyizi zimeundwa hatujui matokeo yake
Zinzishia tuu kutangazwa
 
Kwa hali ya kisiasa ya nchi yetu, na ukinzani uliokuwepo baina ya serikali na Wanahabari, sidhani hapa kuna sababu nyingine zaidi ya hiyo. Absalom Kibanda, amekuwa msumari mkali kwa serikali, tangu alipokuwa Mhariri Mtendaji wa Tanzania Daima na sasa New Habari Coorporation.

Ikumbukwe kuwa, hadi sasa ana kesi iliyoko mahakamani, kesi ya uchochezi kwa sababu ya makala iliyoandikwa na kamanda Samson Mwigamba na kuchapwa katika gazeti la Tanzania Daima wakati Bwana Kibanda akiwa bado Mhariri wa Tanzania Daima.

Ngoja tuwasikie watakavyokuja na majibu ya upelelezi wao. Ila Tanzania kwa sasa, si mahali salama sana kwa wanahabari wanaojali uzalendo na weledi wa kazi zao

hivi unakiamini unachikisema? hivi unafikiri serikali ikiamua kukandAMIZA uhuru wa vyombo vya habari kuna mtu ataizuia? kumbuka, wakati rais kikwete anaingia madarakani, jambo la kwanza alilolifanya katika sekta ya habari ni kuhakikisha kuwa inafanya kwa uhuru na kujitegemea. ndiyo maana leo hii tunawaona watu kama akina kibanda wanaandika mambo mengi hata kama mengine ni ya uzushi lakini hawabughudhiwi na serikali. tembelea nchi jirani za burundi na rwanda uone mambo yalivyo
 
Siku 2 kabla redio Imani Haijafungiwa kat ya saa 2 mpk 3 asubuh walikuwa na kipindi chao wakijadili zile tetesi za uwapo wa chuo kiislamu ktk kisiwa cha Ukerewe jjn Mwanza kinachofundisha mambo ya Ughaidi ambazo zilikuwa zimetolewa na gazeti la MTANZANIA.

ktk majidiliano yao na simu za wasilizaji walimtangaza Husein Bashe na Absolom Kibanda kama maadui wa uislamu na wanataakiwa kushughulikiwa kutokana Bashe kuruhsu habari hiyo ambayo Kibanda ndo alikuwa Mwandishi wake.

kwa hiyo unatuambia nini? au unataka kuchonganisha familia ya bashe na waislamu. mbona hata mambo msiyoyajua mnakimbilia kusingizia uislam. jf watu kama hawa wanaoendeleza mijadala ya kidini ni vyema wakachukuliwa hatua. huko kote ni kuzoofisha jitihada za jeshi la polisi za kufanya uchunguzi wa kina
 
Upelelezi utabidi uanzie kwako wewe mwenyewe na huyo mwenzio,yaelekea mnamfahamu hata muhusika au yaweza kuwa ni nyinyi wenyewe.
Naamini Polisi wanatakiwa watumie utaalam wao wote pasi kufuata mis-leading info kama hii yako wewe, inaumiza sana kitu Absalom Norman Kibanda katendewa, hakika inaumiza...

Kama unaumia sana mbona unakingia kifua baadhi ya wadhaniwa? Kwa nini usi ache kila mdhaniwa achunguzwe?
 
kuendelea kusema Tanzania nikisiwa cha amani ni uongo mbele ya Mwenyezi Mungu na kuwahadaa raia.Ingekuwa Somalia ningesema kutokana na kutokuwa na serekali muda mrefu ila hapa si hivyo matukio ni mengi na tume ni nyizi zimeundwa hatujui matokeo yake
Zinzishia tuu kutangazwa

kumbuka, dhana ya amani ya Tanzania haiwezi kuondolewa na matukio ya rasharasha. tuviachie vyombo vya dola vitimize wajibu wake. si vyema kujilinganisha Tanzania na somalia
 
Poa kamanda, nshakupata. Mimi nilishasema kwenye kipachiko changu cha awali na makala yangu ndefu niliyoiweka hivi punde, "Tanzania si mahali salama kwa Wanahabari wajuao kutenda kazi kwa weledi. Tanzania si salama kwa kwa Wanaharakati"

na somalia utasemaje?
 
Unajua hizi game mara nyingine huchezwa hivi:-
Kibanda kama mwandishi wa habari aliwahi kuandika makala au taarifa ambazo hazikuwapendeza watawala na serikali kwa ujumla. Akavutwa kwenye mtego na maadui zake kwa ahadi za kupewa mwezi kwenye sahani.....naye akanasa.

Sasa wale wabaya wake walipomtenda wanajua lawama (focus) haitawagusa wao waliotenda kwani wako kimzuka zaidi (ghost). Ila wao kwa upande mmoja malengo yao wameyatimiza ya aidha kulipa kisasi au kumnyamazisha. Ndio maana utakuta watu kama Pasco wa JF anaweza kuwa sehemu ya spinning machine (kwa kuusoma uzi wake katikati ya mistari); kwani, sadly, wanadamu hawana wema!

si vyema kukurupuka kipindi hiki wakati mwenzetu yu mahututi. cha msingi kwa sasa tumuombee ili apone na ukweli wa tukio lenyewe ufahamike. ila cha msingi jeshi uchunguzi wa kina zaidi ufanywe na wananchi tutoe ushirikiano kwa jeshi letu ili wahusika wabainishwe
 
afu wajinga fulan wanasema tz ni nchi yenye amani
 
Inasemekana watu waliomvamia walikuwa wamevaa kaunda suti.
 
They can kill them all,but they can't stop what they have already planted!
 
si vyema kukurupuka kipindi hiki wakati mwenzetu yu mahututi. cha msingi kwa sasa tumuombee ili apone na ukweli wa tukio lenyewe ufahamike. ila cha msingi jeshi uchunguzi wa kina zaidi ufanywe na wananchi tutoe ushirikiano kwa jeshi letu ili wahusika wabainishwe
Atongwele, Atongwele, Atongwele...! I wish you could just get back into your shell and stay there, uchunguzi my foot! Kweli JF imekuwa kokoro!
 
Back
Top Bottom