mkuu huo ni mtazamo wako na siwezi kuuzuia.
Good2015, Nikiita hii ni akili ya Masaburini nitakuwa sijakutendea haki. Hii itakuwa akili ya matakoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu huo ni mtazamo wako na siwezi kuuzuia.
Good2015, Nikiita hii ni akili ya Masaburini nitakuwa sijakutendea haki. Hii itakuwa akili ya matakoni.
mkuu huo ni mtazamo wako na nauheshimu kama ulivyo wangu. si ajabu hakuna kati yetu mwenye jibu sahihi au mmoja kapatia. na wala sitokuambia hufai kama wewe ulivyoniambia. ni hayo tu.
Hufai hata kuchunguza kesi ya mwanafunzi kuibiwa penseli, yule alikuwa against serikali wale (serikali)wakamsogeza kujifanya ni marafiki akajua amepata rafiki wa kweli kimaslahi kumbe urafiki wa sasa haubadilishi mabaya uliyoyafanya huko nyuma.
Mnatengeneza filamu ili muisingizie CDM!, sie hatuna mda mchafu kama huo. Wanaofanya hayo matukio wanajulikana (ref Dr. Ulimboka)
Lakini hata wewe pia unaweza kusaidia katika uchunguzi kwa kuanzia kwako inawezekana unahusika kwa namna moja au unawafahamu waliofanya hivyo au umehusika kumteka ili lengo lako lakulichafua gazeti la Tanzania daima litimie!
mkuu wsiwasi wangu ni kuwa isije ikawa na utata kama ile ya kina chacha wangwe. tunakumbuka alikuwa anamchallage mwenyekiti.kumbe alitokea huko, ohooooo, visasi hivyo.
Mmefanya hivyo ili kupoza suala la matokeo ya form iv enh,hatudanganyiki"!!!!!!
Unajidanganya utapatikana tu"
Waanzie kwako, yaelekea una fununu juu ya unyama huu.Vipi Abedi aka Igondhu hajambo?
inaonekana akili yako haina ushirikiano na na viungo vingine.kazae mtoto umwite chadema kama kama unaipenda.
Ukifanyakazi mahala huruhusiwi kuhama? je na wale waliohama redio Tz na kukimbilia redio binafsi je nao waulizwe?
Polisi ilishashindwa kuchunguza matukio ya hivyo, Waitwe FBI kuchunguza hilo, tena wapo hapo kisiwani tu.
mkuu huo ni mtizamo wako, na ninauheshimu. inawezekana upo sahihi au mimi nipo sahihi au hakuna kati yetu aliyesahii.
Usipoteze malengo, wa kuanza nae ni Nchemba maana yeye anayo CD ya watu wanaopanga mauaji.
Ufinyu wa mawazo, so mmefanya ili msingizie tanzania Daima na CDM, always ndo kimbilio lenu, hata Mwangosi mlisema alirushiwa kitu chenye ncha toka kwa mashabiki wa CDM camera zikawaumbua, shame.
Sidhami kama polisi wanapotezwa kirahisi namna hii. Ingekuwa hivi basi waalifu wote wangepeta tu. Pa kuanzia wanajua na wewe utasaidia kama kawaida!
Na ulimboka nae n tz daima..acha u...nge..umetumwa nn
There you are, ulijuaje mkuu.
majibu ya kubahatisha yasiyokuwa na msimamo au mambo ya kudhanidhani ni ya kimagamba hiyo ndio sofa yao, mimi siko hivyo ninachokuambia nina huwakika nachomkuu huo ni mtizamo wako, na ninauheshimu. inawezekana upo sahihi au mimi nipo sahihi au hakuna kati yetu aliyesahii.