Absalom Kibanda (Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri) avamiwa na watu wasiojulikana na kujeruhiwa

Absalom Kibanda (Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri) avamiwa na watu wasiojulikana na kujeruhiwa


Hufai hata kuchunguza kesi ya mwanafunzi kuibiwa penseli, yule alikuwa against serikali wale (serikali)wakamsogeza kujifanya ni marafiki akajua amepata rafiki wa kweli kimaslahi kumbe urafiki wa sasa haubadilishi mabaya uliyoyafanya huko nyuma.
mkuu huo ni mtazamo wako na nauheshimu kama ulivyo wangu. si ajabu hakuna kati yetu mwenye jibu sahihi au mmoja kapatia. na wala sitokuambia hufai kama wewe ulivyoniambia. ni hayo tu.
 
Mnatengeneza filamu ili muisingizie CDM!, sie hatuna mda mchafu kama huo. Wanaofanya hayo matukio wanajulikana (ref Dr. Ulimboka)

mkuu huo ni mtizamo wako, na ninauhishumu. inawezekana upo sahihi au mimi nipo sahihi au hakupa kati yetu aliyesahii.
 

Lakini hata wewe pia unaweza kusaidia katika uchunguzi kwa kuanzia kwako inawezekana unahusika kwa namna moja au unawafahamu waliofanya hivyo au umehusika kumteka ili lengo lako lakulichafua gazeti la Tanzania daima litimie!

mkuu huo ni mtizamo wako, na ninauheshimu. inawezekana upo sahihi au mimi nipo sahihi au hakuna kati yetu aliyesahii.
 
Mmefanya hivyo ili kupoza suala la matokeo ya form iv enh,hatudanganyiki"!!!!!!
Unajidanganya utapatikana tu"

mkuu huo ni mtizamo wako, na ninauheshimu. inawezekana upo sahihi au mimi nipo sahihi au hakuna kati yetu aliyesahii.
 
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading"]Battered Dar editor flown to South Africa for further care
[/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: createdate"] Wednesday, 06 March 2013 22:07
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]By Abela Msikula
The Citizen Correspondent
Dar es Salaam.

As the manhunt for the two individuals who violently assaulted seasoned journalist Absalom Kibanda Tuesday night moves into higher gear, the firebrand chairman of Tanzania Editor's Forum (TEF) has had to be flown to South Africa for specialised medical care.
The journalist, who is also the group managing editor for New Habari Corporation, was grievously wounded following a vicious attack as he came home from work right outside his house at Mbezi Juu in Dar es Salaam. He suffered serious injuries to his left eye. His assailants also knocked several teeth off him and hacked off a finger on his left hand. Just before he was flown out, the TEF chair told local reporters he believes the incident has something to do with his work as a journalist.

After the incident, Mr Kibanda was rushed to Muhimbili National Hospital (MNH)'s Orthopaedic Institute (Moi), where doctors referred him to a South Africa hospital for further treatment.

The Citizen witnessed him being airlifted at Julius Nyerere International Airport. He left aboard Flight Link around 4pm.
Following these brutal events, the Inspector General of Police, Mr Said Mwema, has assigned four detectives from the Police Force headquarters to beef up investigations into what happened that fateful night, but no arrests had been made when we went to press yesterday.

However, Dar es Salaam Special Police Zone Commander, Mr Suleiman Kova, and Kinondoni Regional Police Commander, Mr Charles Kenyela, said they had formed a joint investigation team to look into the matter.

A statement by minister of Home Affairs Emmanuel Nchimbi said IGP Mwema's decision is meant "to increase efficiency." At JNIA, Mr Kibanda shared the harrowing details of Tuesday's events with the local press.

"I was approaching the gate of my home at midnight. While I was waiting for my gate keeper to open it, two people approached my car and smashed the window screen."He went on: "As I was trying to escape through the passenger's door, they grabbed me and began hitting me." The assailants, he said, attacked him with heavy tools and sharp metals.
"I heard the third person who was off my sight encouraging his colleagues to shoot and finish me…but the two were resisting. An interesting thing is that, they were addressing each other by a title ‘afande'[literally translates ‘Sir'] normally used by police officers," he noted.

He said when the gatekeeper opened the gate and saw what was happening, he called for help, and the attackers fled.Dr Nchimbi's statement said Mr Kibanda was found about 30 metres from his car. Nothing was taken from him despite the fact that he had two cellphones and a laptop in his vehicle.

He becomes the fifth journalist to be attacked within the past six months. Two journalists were killed and three others were seriously harmed during this short period.

In September last year TV reporter David Mwangosi was killed by the police in Iringa as he covered a political rally. In January this year Issa Ngumba – a Kakonko-based correspondent with Radio Kwizera –was found dead in the forest with bullet wounds in his body.

Last November, an editor working with Business Times Limited, Mr Mnaku Mbani, was shot and seriously injured by suspected robbers who were attempting to hijack the vehicle he had hired for the day. The following month Shabaan Matutu, a journalist with Free Media Group, was shot in his home by the police in what law enforcement called ‘a case of mistaken identity.'

Mr Kibanda was scheduled to appear in court yesterday as part of an ongoing treason case against him and two others: former group managing editor for Mwananchi Communications Limited (MCL) Theophil Makunga and Tanzania Daima columnist Samson Mwigamba.

They are alleged to have published a "seditious" article in 2011. Following this violent assault on Mr Kibanda, the Kisutu Resident Magistrate's Court adjourned the case to March 26.

(Additional reporting by Rosina John and Bernard Lugongo)
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
inaonekana akili yako haina ushirikiano na na viungo vingine.kazae mtoto umwite chadema kama kama unaipenda.

nao pia ni mchango, na inawezekana hapa jF kwa mchango kama uhuru, washukuriwe walioianzisha.
 
Ukifanyakazi mahala huruhusiwi kuhama? je na wale waliohama redio Tz na kukimbilia redio binafsi je nao waulizwe?

mkuu huu ni mtazamo wangu na sio lazima ushabihiane na wamwengine.
 
Polisi ilishashindwa kuchunguza matukio ya hivyo, Waitwe FBI kuchunguza hilo, tena wapo hapo kisiwani tu.

mkuu huo ni mtizamo wako, na ninauheshimu. inawezekana upo sahihi au mimi nipo sahihi au hakuna kati yetu aliyesahii.
 


Usipoteze malengo, wa kuanza nae ni Nchemba maana yeye anayo CD ya watu wanaopanga mauaji.
mkuu huo ni mtizamo wako, na ninauheshimu. inawezekana upo sahihi au mimi nipo sahihi au hakuna kati yetu aliyesahii.
 
Ufinyu wa mawazo, so mmefanya ili msingizie tanzania Daima na CDM, always ndo kimbilio lenu, hata Mwangosi mlisema alirushiwa kitu chenye ncha toka kwa mashabiki wa CDM camera zikawaumbua, shame.

mkuu huo ni mtizamo wako, na ninauheshimu. inawezekana upo sahihi au mimi nipo sahihi au hakuna kati yetu aliyesahii.
 
Sidhami kama polisi wanapotezwa kirahisi namna hii. Ingekuwa hivi basi waalifu wote wangepeta tu. Pa kuanzia wanajua na wewe utasaidia kama kawaida!

mkuu huo ni mtizamo wako, na ninauheshimu. inawezekana upo sahihi au mimi nipo sahihi au hakuna kati yetu aliyesahii.
 
Na ulimboka nae n tz daima..acha u...nge..umetumwa nn

mkuu kuhusu ulimboka nina wasiwasi na TISS au nyoni kwasababu walimkosesha ulaji. who knows mkuu, ni utata mtupu. mungu atuepushie mbali na upuuzi huu.
 
tumuombee apone haraka , yamekuwa maisha yetu watanzania ukifanya kazi vizuri maadui wanakuwa wengi ljambo la msingi tusongembele Mungu yuko nasisi wapiganaji:welcome:
 
Tanzania tunaelekea wapi?kila siku tume za upelelez zinaundwa ila hatupati majibu ya kueleweka,kama mjanja utakua umeshaelewa nin kinafanyika na nan wanahuaika
 
mkuu huo ni mtizamo wako, na ninauheshimu. inawezekana upo sahihi au mimi nipo sahihi au hakuna kati yetu aliyesahii.
majibu ya kubahatisha yasiyokuwa na msimamo au mambo ya kudhanidhani ni ya kimagamba hiyo ndio sofa yao, mimi siko hivyo ninachokuambia nina huwakika nacho
 
Back
Top Bottom