Absalom Kibanda: Namuogopa Abdurahman Kinana

mbona makala yake nzuri tu! imejaa ushauri uwe mzuri au mbaya. lkn kwa akili ya kawaida hii makala haiwezi kuwa sababu ya kumfukuza mtu maana kama makala ameandika nyingi zenye ushauri mkali zaidi kuliko hii.
Tuache upotoshaji.
 
Haya mwandishi kanjanja alivyo na akili mbovu kuunganisha story zisizofanana
 
Ukweli anaujua yeye mwenyewe km anavyoujua Mwakyembe na Ulimboka...Kama hawawezi kuusema let us keep kwayati..
 
Sasa kwa nini msipeleke ushahidi polisi kama mnao? Manalia nini na serikali ni yenu?


Fungukeni jamani mpaka ukweli ujulikane, tumechoka na propaganda mara ohh, serikali mara afande alisema mshuti, kumbe wenyewe ndo wahusika.
 
Kama nlijua kuwa mtahusisha na cdm na freemedia..hata jana kova alilisemea kisiasa kujenga logic kuwa tanzania daima ipo nyuma ya hii kadhia.kama tutaingiza siasa ktk kila tukio basi serikali na jeshi la polisi kwa hakika wamekuwa wapiga ramli wa magamba.ila hatutawaelewa kwani kumbukeni singo ya kifo cha wangwe haikuweza kubamba licha hii...
 
Unahitimisha nini kuhusu tukio la Dr. Ulimboka? Tusiwe mashujaa wa kukipaka matope CDM wakati kuna ushahidi wa wazi pasi shaka kwa matukio ya namna hiyo kuwa CCM na serikali yake ni wahusika wakuu.
 
nimekuwa na muheshimu kibanda katika mtamo wake wa kisiasa kitambo sana. ni kati ya watu wachache waliyo kataa kabisa kumfagilia kikwete tokea aingie madarakani, alikuwa na maono ya mbali ambayo, sisi ndiyo leo tuna kuja kugundua tuli lamba bad card "garasa/ garasha to hell...kibanda alikubwa na kesi ya ya blau blah. Tanzania daima. kibada ni binadamu CCm wana mwambia inabidi awatumikie ili waipotezee kesi, kibadnda anakubali si kutoka rohoni lakini inabidi. kibanda ni mwana mapinduzi anajua jinsi nchi hii inavyo liwa na wachache. katika kukubali kwame anajikuta mwili umeungana na mafisadi kujihepusha na hukumu lakini roho inaumi, na hapo ndiyo matatizo yanapo anza baada ya mafisadi kugundua huyu bwana si mwenzetu...wasemakweli watatishwa, wata bembelezwa kuhogwa. na hata kuuwawa ili mradi uandike wao wana chotaka
 
mbona makala yake nzuri tu! imejaa ushauri uwe mzuri au mbaya. lkn kwa akili ya kawaida hii makala haiwezi kuwa sababu ya kumfukuza mtu maana kama makala ameandika nyingi zenye ushauri mkali zaidi kuliko hii.
Tuache upotoshaji.

tatizo kuwa hawa wafuasi wa chadema. hawataki ushauri mzuri. na kutokana na ushauri wa kibanda, bila shaka walimuona ni adui
 
Ok, ni vyema mkapeleka ushahidi wenu polisi hili haki itendeke pale mahakamani?
Msihishie kulalamika tuu!
More steps needed! What are you waiting?

 
hapo hamna logic,
mtoa mada hajafafanua uhasama anaouzungumzia unaingiliana vipi na mada ya kinana
 

mbona hawajamfanya hivyo akiwa Tanzania Daima?
 



mbona kwenye makala hiyo wametajwa na viongoz wengine wa vyama vya siasa? Why cdm? Inawachoma?

Alichoandika Kibanda ni wehu km wewe tu, endapo ungekuwa mwana cdm, wangefikiria kumfanyia kibanda alichofanyiwa. But kwetu sisi wanacdm wa ukwel, alitupa funzo.

Mulizusha ya wangwe, yakawashinda. Cdm ni mpango wa Mungu, endeleeni kubishana nae.
 
hapo hamna logic,
mtoa mada hajafafanua uhasama anaouzungumzia unaingiliana vipi na mada ya kinana

hivi hujui magwanda wengi hawajafurahishwa na makala hiyo? hivi hujui hiyo ndiyo ilikuwa tiketi yake ya kutoka FREEMEDIA?
 

mUNGU ANARUHUSU kuua watu na kuwatesa kikatili namna hiyo? wewe ulijifanya kama ulipata funzo kwa hiyo makala. lakini kwa kauli yako hiyo natia shaka hata na kauli yako ya mwanzo
 
Kibona
mwaikambo
mwandosya
mwakyembe
mwangosi
absolom kibanda
..........
 
Ok, ni vyema mkapeleka ushahidi wenu polisi hili haki itendeke pale mahakamani?
Msihishie kulalamika tuu!
More steps needed! What are you waiting?


na nyie mnaposema TISS na polisi wanaua mbona mnajificha? sisi tumejipanga vizuri na katika kipindi hiki wakubwa zenu wataumbuka
 
Hii siyo sababu ya kumuua. toa sbabu nyingine. mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…