sidhani
hudhani nini. kwamba kibanda kaandika upuuzi au hudhani kama CHADEMA na Mbowe wanahusika na tukio la kibanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sidhani
aha, unamjua mbowe wewe?
aha, unamjua mbowe wewe?
Fungukeni jamani mpaka ukweli ujulikane, tumechoka na propaganda mara ohh, serikali mara afande alisema mshuti, kumbe wenyewe ndo wahusika.
Unahitimisha nini kuhusu tukio la Dr. Ulimboka? Tusiwe mashujaa wa kukipaka matope CDM wakati kuna ushahidi wa wazi pasi shaka kwa matukio ya namna hiyo kuwa CCM na serikali yake ni wahusika wakuu.ni wazi kwamba makala kama hizi haziwapendezi wana CHADEMA na muda si muda itaondolewa. lakini pia inatufumbua macho kuwa KIBANDA alikuwa mkweli na aliamua kufunguka ijapokuwa alijua kuwa kwa watu wa visasi kama akina MBOWE na SLAA hawezi kupona kwa makala kama hiyo. Hatua ya kwanza waliyoifanya chadema ni kumshinikiza aondoke freemedia na hatua ya pili ni hii iliyofanyika juzi. lengo lao halikuwa kumuua bali kumfanya ashindwe kutekeleza au achukue muda mrefu kutekeleza majukumu yake akiwa huru kutoka katika makucha ya madhalimu wa CHADEMA. bila shaka anayo mengi moyoni na ambayo chadema hawataki yajulikane. thanks kwa kutukumbusha maana walio wengi waliidharau makala hiyo lakini kwa watu makini kama akina Mbowe, walichukua hatua na wataendelea kuchukua dhidi ya wale wengine waliojitambua kama kibanda
mbona makala yake nzuri tu! imejaa ushauri uwe mzuri au mbaya. lkn kwa akili ya kawaida hii makala haiwezi kuwa sababu ya kumfukuza mtu maana kama makala ameandika nyingi zenye ushauri mkali zaidi kuliko hii.
Tuache upotoshaji.
ni wazi kwamba makala kama hizi haziwapendezi wana CHADEMA na muda si muda itaondolewa. lakini pia inatufumbua macho kuwa KIBANDA alikuwa mkweli na aliamua kufunguka ijapokuwa alijua kuwa kwa watu wa visasi kama akina MBOWE na SLAA hawezi kupona kwa makala kama hiyo. Hatua ya kwanza waliyoifanya chadema ni kumshinikiza aondoke freemedia na hatua ya pili ni hii iliyofanyika juzi. lengo lao halikuwa kumuua bali kumfanya ashindwe kutekeleza au achukue muda mrefu kutekeleza majukumu yake akiwa huru kutoka katika makucha ya madhalimu wa CHADEMA. bila shaka anayo mengi moyoni na ambayo chadema hawataki yajulikane. thanks kwa kutukumbusha maana walio wengi waliidharau makala hiyo lakini kwa watu makini kama akina Mbowe, walichukua hatua na wataendelea kuchukua dhidi ya wale wengine waliojitambua kama kibanda
nimekuwa na muheshimu kibanda katika mtamo wake wa kisiasa kitambo sana. ni kati ya watu wachache waliyo kataa kabisa kumfagilia kikwete tokea aingie madarakani, alikuwa na maono ya mbali ambayo, sisi ndiyo leo tuna kuja kugundua tuli lamba bad card "garasa/ garasha to hell...kibanda alikubwa na kesi ya ya blau blah. Tanzania daima. kibada ni binadamu CCm wana mwambia inabidi awatumikie ili waipotezee kesi, kibadnda anakubali si kutoka rohoni lakini inabidi. kibanda ni mwana mapinduzi anajua jinsi nchi hii inavyo liwa na wachache. katika kukubali kwame anajikuta mwili umeungana na mafisadi kujihepusha na hukumu lakini roho inaumi, na hapo ndiyo matatizo yanapo anza baada ya mafisadi kugundua huyu bwana si mwenzetu...wasemakweli watatishwa, wata bembelezwa kuhogwa. na hata kuuwawa ili mradi uandike wao wana chotaka
wafuasi wa chadema walio wengi ni vipofu. hawajui usiku wala mchana na rangi kwao si kitu maana hawawezi kuzitenganisha. hawajui uzuri wala ubaya wa mtu na wala hawajui maana ya urefu na ufupi. jinsi KIBANDA alivyofunguka, leo mijadala isingeibuka kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kutekwa na kuumizwa kwa KIBANDA. wenye akili wanajua bayana kuwa Mzee wa Visasi Mbowe anayo siri nzima ya tukio hilo
hapo hamna logic,
mtoa mada hajafafanua uhasama anaouzungumzia unaingiliana vipi na mada ya kinana
mbona kwenye makala hiyo wametajwa na viongoz wengine wa vyama vya siasa? Why cdm? Inawachoma?
Alichoandika Kibanda ni wehu km wewe tu, endapo ungekuwa mwana cdm, wangefikiria kumfanyia kibanda alichofanyiwa. But kwetu sisi wanacdm wa ukwel, alitupa funzo.
Mulizusha ya wangwe, yakawashinda. Cdm ni mpango wa Mungu, endeleeni kubishana nae.
Ok, ni vyema mkapeleka ushahidi wenu polisi hili haki itendeke pale mahakamani?
Msihishie kulalamika tuu!
More steps needed! What are you waiting?