amba.nkya
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 446
- 131
Kama nlijua kuwa mtahusisha na cdm na freemedia..hata jana kova alilisemea kisiasa kujenga logic kuwa tanzania daima ipo nyuma ya hii kadhia.kama tutaingiza siasa ktk kila tukio basi serikali na jeshi la polisi kwa hakika wamekuwa wapiga ramli wa magamba.ila hatutawaelewa kwani kumbukeni singo ya kifo cha wangwe haikuweza kubamba licha hii...
Junior Member Array
Join Date : 8th March 2013
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received 0
Likes Given 0
Makanjanja na waganga njaa hupati shida kuwatambua, kweli CDM inawanyima usingizi. Please MODS, unganisheni takataka hii na uzi mwingine wenye harufu ya namna hii.
Junior Member Array
Join Date : 8th March 2013
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0