Absalom Kibanda: Namuogopa Abdurahman Kinana

Absalom Kibanda: Namuogopa Abdurahman Kinana

wafuasi wa chadema walio wengi ni vipofu. hawajui usiku wala mchana na rangi kwao si kitu maana hawawezi kuzitenganisha. hawajui uzuri wala ubaya wa mtu na wala hawajui maana ya urefu na ufupi. jinsi KIBANDA alivyofunguka, leo mijadala isingeibuka kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kutekwa na kuumizwa kwa KIBANDA. wenye akili wanajua bayana kuwa Mzee wa Visasi Mbowe anayo siri nzima ya tukio hilo


Msemaji wa mfumo ISLAMU wewe unawajua wauaji, hongera!.. Ndiyo maana hata waliomuua Padri Mushi ni siri!.
 
Mmeo na watoto wako wanahasara sana kuwa na mama kama wewe. Huna akili hata moja kichwani. Shame on you

Huna hoja kalale tu, hii mada mwisho wa maneno lazima mtaharisha sana leo kama mekunywa juice ya ukwaju.
 
ukiweza kufanya analysis vizur bila kua bias wakati wa issue ya ulimboka niliona upande wa pili kwa mtizamo wangu na mateso ya Kibanda yanazid kunifungua macho.
iko hivi issue ya ulimboka ilikua ni ya uchonganishi kunawatu walijipenyeza kati na kwakujua kua kufanya vile kutazidisha ugomvi kati ya Madaktar pamoja na wananchi dhidi ya Serekali ili wao kupitia huo ugomvi wapenye katikati na kuanekana mbadala.(a) wamijisahau wakautumia mbinu zile zile kwa adui yao anayejulikana wazi kama ndivyo sikutegemea
(b) Mchezo walioufanya wao thidi ya ugomvi kati ya ulimboka na serekali wamefanyiwa wao kuchonganishwa na waandishi wa habari.
tumefika mbali sana na huu mchezo wa uchonganishi kwani hata maswali na kidini yanafinyika kwa kutumia mchezo mchafu unamwagia tindikali mwenzako ili useme upande wa pili unahusika, mnatoa uhai wa mwingine ili kusingizia flani ndo wahisika.haya yote yana malipo.

sure. hapo sasa umenena
 
Me ninachotaka ni kwamba hawa wanao sema ni chadema wapeleke ushahidi hili ushsughulikiwe mapema pengine si wanajua na wana uhakika ni chadema labda tume italeta majibu!

kumbe wakati mwingine mnaziamini tume na polisi. ila mnatumia ukaidi tu kuvipinga
 
mmenaswa mnaanza kusema tuiachie polisi. mbona kwa ulimboka hamkusema hayo. tena mlichangishana pesa za matibabu na isitoshe aliporudi mlisukuma gari lake kama mfalme

wewe acha udini kutetea uhalifu. Kama taarifa ya mauaji mengine yaliyofanyika hapa nchini wahusika hawajulikani, na tena tunaletewa wakenya huyu mmemjuaje?!... Au MAGAIDI wa zanzibar wanahusika?..
 
na Sheikh aliyemwagiwa tindikali?

Huo si ugomvi wenu wa misikiti?! Uliwahi kuona mkristo akisherehekea kitendo cha shehe kumwagiwa tindikali?.. Mbona nyie mnashangilia, soma website ya uamsho ujue kifo cha Mushi kilivyofurahisha kundi hilo la kigaidi.
 
Eti siri adharani wakti umechukua makala umeweka tuu! Naona kila mtu ni polisi na mwana usalama tanzania!
 
Lakini hapa wote tunatwanga maji katika kinu tu.

Kama ile tume iliyoundwa kuchunguza tukio la Dr. Ulimboka na ile ya marehemu Mwangosi zingelikuja na majibu basi haya matukio yasingeliendelea kutokea.

Lakini bado hatukupewa matokeo ya tume zile na leo imeundwa tume nyingine tena bila shaka haitaleta majibu kwetu walipa kodi kama kwa tume zilizoitangulia (FUNIKA KOMBE MWANAHARAMU APITE).

Utesaji wa Kibanda na ule wa Dr. Ulimboka unafanana, bila shaka wahusika ni wale wale.


MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!

bila shaka watakuwa chadema
 
sijaelewa mantiki ya post yako na zilizotangulia kama ya thatha.
nini sasa kilichomponza? alichandika ndicho kilichomfanya akajeruhiwa hivo?
Tuseme sasa Kinana ndio mhusika au wana CCM?
 
mleta mada kanikumbushia yaliyomkuta Mh Mwakyembe baada ya kuyaweka bayana yaliyotokea enzi za richmond.....
Nahisi anataka kutuaminisha kuwa wana CCM wanahusika moja kwa moja Kwa yaliyotokea kwa Mwkymbe.

Au labda yaliyomkuta ulimboka baada ya kuigomea serikali ya CCM kusitsha mgomo wa madaktari CCM ina husika moja kwa moja?

Twaelewa CCM hawana utaratibu wa kukubali kukosolewa ndio maana inakuwa vigumu kwao kuchanganua yaliyomkuta kabanda eti kisa kawapongeza wana CCM.

Naamini kama wadhani CDM inaendeshwa kipuuzi namna hiyo basi tungeshuhudia wengi sana ndani ya CDM waking'olewa meno.
 
Nasikia hata matokeo mabaya ya kidato cha nne wamesababisha chadema; mauaji ya albino: chadema, wizi wa twiga kupeleka uarabuni: chadema, mauaji ya mwangosi yalisababishwa na kitu kama bomu lililotupwa na wanachama wa chadema; dr ulimboka: chadema, Said kubenea kumwagiwa tindikali: chadema, mauaji ya mch buseresere: chadema, mauaji ya padri mushi: chadema, kumwagiwa asidi kwa shehe huko Zamzibar: chadema, epa, kagoda, richmond, meremeta, uamsho, nk, chadema! You are fooling yourself you blind poiliticians. we know your evil deeds since the time you drowned the cuf members into the indian ocean so you want to threaten chadema the same way. Too late!
 
Umeshindwa hata kuelewa nini nasema! Tulia utafakari!
Hakuna anaye ziamini hizo tume bali nilicho kwambia ni kwamba pelekeni huo ushahidi pengine safari hii wanaweza wakafanya kazi sababu mmehusisha chadema! Pengine mpike haraka matokeo mlete!
Lakini kuna maswali nili kuuliza umenyamaza!
Mta hangaika lakini mwisho wa siku hizi ni malicious presecution kama zingine!

kumbe wakati mwingine mnaziamini tume na polisi. ila mnatumia ukaidi tu kuvipinga
 
Watu wanapata taabu bure.muhusika ni mwigulu nchemba na ushaidi ninao.bado juliana shoza na mwenzie mwampamba atawafanyizia aseme ni chadema kwakuwa polisi wetu hawana akili wataamini.akishamaliza atasema nilisema na cd ninayo ya cdm wakipanga mauaji.huyu jamaa kaondoka tanzania daima kwa dau kubwa sana kutoka kwa rostam na bashe mtu yeyote asingeweza kataa hilo.
 
Thanx brother well said!
mleta mada kanikumbushia yaliyomkuta Mh Mwakyembe baada ya kuyaweka bayana yaliyotokea enzi za richmond.....
Nahisi anataka kutuaminisha kuwa wana CCM wanahusika moja kwa moja Kwa yaliyotokea kwa Mwkymbe.

Au labda yaliyomkuta ulimboka baada ya kuigomea serikali ya CCM kusitsha mgomo wa madaktari CCM ina husika moja kwa moja?

Twaelewa CCM hawana utaratibu wa kukubali kukosolewa ndio maana inakuwa vigumu kwao kuchanganua yaliyomkuta kabanda eti kisa kawapongeza wana CCM.

Naamini kama wadhani CDM inaendeshwa kipuuzi namna hiyo basi tungeshuhudia wengi sana ndani ya CDM waking'olewa meno.
 
Sasa siri iko wapi hapo. Kuandika anavyomfahamu kinana ni kosa? mtoa thread ameingia kwa ID mpya kwa ajili ya habari hii tu japo ni mkongwe.

Kila la kheri kwa habari za kufikilisha na kutafakalisha watu.
 
na mbowe aliyemsifia kikwete kwa kujenga barabara kwao utamwitaje?

Mbowe alikuwa anafanya managerial tactics.Ukiwa una mtu ambayo ni tatizo ila yupo palito treassure ,ukitaka msogeza ili mchukue resources mnaweza gawana majukumu.Mmoja anamletea soo na mwingine anakuwa soft ili aseme afadhali fulani, au kama si fulani nisingefanya kitu fulani.Unampa mtu escaping door ktk swali linaloweka pride yake at stake.

Kwa taarifa yako kama management imekuchoka halafu hawana njia sahihi ya kukutoa kwa vile hakuna replacement.Boss wa chini anaweza kuletea noma ya kufa mtu halafu, boss wa juu akakuongezea mshahara na kukupa ahadi kibao pengine na glass ya wine huku akikuambia usikasirike sana ktk maisha si nzuri kw aafaya yako.Ujumbe unakuwa umefika wa kukuonya na ujembe wa kukupa moyo au kukurahisishia nafasi ya kuondoa pride yako( Kama si mkurugenzi ningeacha kazi) ili uanze kw amoyo wa bidii.


Wakati Mbowe anamsifia JK aliyezoea kupewa sifa na kubebewa makosa Dr. Slaa alikuwa akimtapisha.
Nadhani aumeelewa.
 
Magwanda bhana badala ya kujadili hoja unahangaika na tarehe !!!! Ndo maana mwenyekiti wenu alipata ziro form four!!!!!!

Bint Karibu JF.
Huku kuna Mashababi Balaa, kwa Tabia zako huu Mwaka haukatiki lazima uwe umezalishwa Humu JF
 
Back
Top Bottom