tatizo mnapambana na uhalifu kupitia vyombo vya jabari. Sasa mtu kama kova anahusisha tukio hilo na uadui tena wa kisiasa ina maana anawajua waliotenda hayo. Kuhama kwa kibanda toka free media ni kuwalamba miguu wakubwa kutokana na kesi inayomkabili hivi sasa. Inabidi awatumikie then nao watamsaidia kufifisha kesi hiyo. Kibanda namuona kama mwana mapinduzi aliyejisalimisha katika vita ya kutetea haki. Ni msaliti wa wanyonge katika kuwapazia sauti kwa kutumia kalamu yake, matokeo yake anakua kibaraka kwa wenye pesa kwa ajili ya maslahi binafsi. Mnaposema cdm wanahusika kisa tu eti aliandika makala ya "ninmwogopa abrahamani kinaa" akiwa free media si kweli, kumbukeni freemedia sio mali ya chadema bali ni mali ya mbowe. Kama makala aliypkuwa akiandika ilikua ni kumfurahisha bosi wake akiwa freemedia na sasa kahamia huko na tabia hizo hizo basi anaonyesha ni jinsi gni alivyokua kahaba ktk tasnia ya habari amabayo imepelekea hata kuonekana kuwa si mpambanaji. Hana tofauti na mwakyembe aliyepiga kelele kuhusi fichmond walipomtenda sasa hata hamu ya kuisikia richmond hana tena. Tukagundua hakuwa na uzalendo kwa watanzania ila chuki binafsi dhidi ya lowasa. Hilo ndo tatizo la wanasiasa wa tanzania na baadhi ya wananchi kuwa wanafiki.