Absalom Kibanda: Namuogopa Abdurahman Kinana

Absalom Kibanda: Namuogopa Abdurahman Kinana

kwa sababu zipi? si hiyo makala kaisifia CCM kwa kuwa makini katika kuwateua watu? au mnafikiri CCM ni kama chama chenu ambacho kimejaa mambumbumbu kibao. hata form six leaver anapewa wadhifa mkubwa ndiyo maana hukimbilia maandamano kama suluhisho maana uwezo wa kufikiria na kuchanganua mambo umekuwa mdogo

Kama kuna mtu pimbi ni huyu Atongozwe hana hoja yeye anabisha ilimradi aonekanu yuko jf kila kitu Chadema mwisho watakuoa sasa make posho unapewa kweli kwa kuichafua cdm,unasema wengine wamefeli form six,tuambie wewe na hiyo elimu yako inakusaidia nini kama hauna akili za kujitambua na kutafuta kazi za kufanya umekalia siasa za maji taka kuchafua watu ili upate posho ya kukuwezeaha kuishi ni ufinyu wa akili katika karne hii jiulize wakitoka madarakani si utakuwa shamba boy,mama kama wewe tafuta kazi ya kukupa riziki siasa za kuamka asubuhi kukaa kwenye laptop kuchafua watu hazikusaidii ila kwa sababu unapewa posho na Nepi utakula tu mchana,Omba ccm waendelee kukaa madarakani wakiondoka huko nyuma kwako taaabu kwelikwei
Mara unakuja na udini yaani masaburi kweli wewe
 
Hizo porojo sasa ndio nini. Hata haieleweki kichwa wala miguu. !972 Kinana ndio kwanza alikua amemaliza elimu ya sekondari, sasa kusema ndio alikua katoka jeshini baada ya kutumikia jeshi miaka 20 si inaonyesha Kibamba mwenyewe sio makini?
 
nimekusoma nivea lakini nikuulize kitu, una uhakika kwamba kibanda amekuwa honesty katika hii makala yake ama anamtumikia kafiri apate mradi wake. Angekuwa honesty kama angekiri tu kwamba ana maslahi na mtu/watu hao.

Ukijitahidi kuunganisha dots utaona ni kwanini kibanda anaandika makala very cheap kama hii. Tafuta uhusiano ama ukaribu/umbali wa kinana na lowasa ndipo ujue kilichopo nyuma ya pazia.



Hakuna namna yoyote mtu unaweza kuwa honest kwa kutetea ufisadi na mafisadi. Angekuwa honest angewashambulia wote kwakuwa hakuna fisadi mdogo wala mkubwa.

conspiracy theory
 
Inawezekana wewe ndiye mmoja wa waliosafirisha pembe za ndovu kupitia kampuni ya Kinana. Sasa utaachaje kumsifu bw wako?.
 
Nakuombea sana kwa Mola kaka yangu KIBANDA upone haraka. Lakini waliohivyo Mungu atawalipia!. Pole sana Kibanda.
 
Hii habari kuna watu hawakuipenda kabisa, Kumbuka Mh Membe Benard alikaririwa na vyombo vya habari wabaya wake wote atawamaliza kabla ya 2015 na watakao bakia watakimbilia Kenya, mmoja wa wabaya wake ni huyu Absalom Kibanda. Kalamu yake haijawahi msifia Membe hata Lowassa. Gazeti la Absalom Kibanda ndilo lililoibua kile chuo cha kigaidi cha kiislaam kule visiwani Ukerewe. Alianza kutishiwa kuwa anapigana vita asiyoiweza. Kalamu yake kama walivyo waandishi wengi Tanzania hutumika kuchafua kambi pinzani.

Mungu akuponye najua utasema ukweli ambao utakuweka
huru daima.

Mch Masa
 
Cha maana ni uhai wa kibanda,makala zake ni hoja binafsi kulingana na katiba yetu(uhuru wa kutoa maoni)kila mtz anaweza andika/ongea awezavyo kwa mtazamo wake bila kuvunja sheria hivyo iyo makala ni mtazamo binafsi wa mwandishi
 
mnajua mnayoyajadili? Suspects zenu pelekeni polisi si chama chenu ndio chenye dola? Why keeping a dog and bark yourself ? Stop medling with our time! Msiwafanye watz machizi,mlianza na udini sasa mmepractice umafia na mnaanza kuuaminisha uma ya kwamba ni cdm! Watanzania watapima na wataamua ! Kun'gamua mbivu na mbichi.
Nina wasiwasi na akili zako kama ziko sawa,kama ziko sawa basi una laana!
 
Kumbe kinana na kibanda ni marafiki! Sasa nani yuko behind na kilichompata kina kati ya mbowe ambae hawapikiki chungu kimoja na kibanda kwa muda sasa,lowassa ama samwel sitta ambae uhusiano wake na kibanda umelega lega muda mrefu sasa mpaka ikafika pahala kibanda kutishia kumtungia kitabu sitta kuhusu ufisadi wa spika huyo wa zamani wa bunge la tanzania?

Dokezo:kuna wakati kibanda alikua muumini mtiiifu wa kambi ya lowassa,lakini since kinana awe katibu mkuu wa ccm kutokana na ukaribu wake na kinana ilionekana kana kwamba "amenyea" kambi ya Lowassa,je hii haiwezi kuwa na uhusiano na kilichomtokea hasa ikizingatiwa alipokua kwenye kambi hiyo ya lowasa na rostam offcourse,Rostam alikua akimfadhili sana mpaka kufikia kunuliana magari?!

Kikwete-visits-TEF-chairman.jpg


Jk na kinana wakimfariji mpiganaji kibanda hospitalini south majuzi
 
great thinkers,
baada ya kuisoma makala hii ya absalom kibanda mhariri mtendaji wa tanzania daima, nimejikuta napata mashaka sana na zaidi kupoteza imani na uzalendo wake. Pia nimejikuta nikiamini maneno niliyokuwa nikiyapata kijiweni kwamba kibanda ni mmoja wa beneficieries wa ufisadi kutoka tasnia ya habari nchini



my take:
-hapo kwenye red
naona kibanda kajikita katika kueleza kifo tarajiwa cha upinzani kwa kumezwa na rekodi ya kinana tu bila hata kuzingatia nyakati zilizopo za kisiasa, kupwaya kwa ushindi wa jk kwneye matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 na zaidi mchoko wa kimaisha walionao watanzania sasa. Kibanda amejaza mahaba binafsi kwa kinana pasipo kuzingatia muktadha wa kisiasa uliopo nchini.

Lakini pia kibanda amejikita katika kusisitiza hatari ya upinzani kufa kutokana na kinana kuwa gs wa ccm bila kueleza ni kwa vipi anaweza kupambana na hoja zinazotoka kambi ya upinzani hasa cdm au ni uluteni wake tu jeshini ndiyo utamfanya aue upinzani.

Aidha, kibanda anatumia umeneja kampeni wa kinana kwa wagombea wa urais wa ccm bila hata kusumbua kichwa chake,kwamba kuwa meneja haina maana unakuwa incharge wa ushindi wa mgombea bali timu nzima ya kampeni ya chama ndiyo hufanya kazi hiyo. Mathalan, utamsifu vipi kinana kwa ushindi wa mkapa mwaka 1995 wakati hayati baba wa taifa mwalimu nyerere kivuri chake kilikuwa bado kinaishi ndani ya mioyo ya watanzania? Ni kweli hili si la kubeza lakini si la kumpa credit kubwa kiasi anachotoa kibanda

-kwenye blue,
kibanda kawa kipofu kiasi kwamba kwakwe yeye tuhuma za ufisadi zinazomkabili kinana na baadhi ya wana safu wa sekretarieti mpya ya ccm anaziona nyepesi na zisizo na mashiko. Kwake yeye (ufisadi ni mwepesi na si hoja kwa sasa) bali hoja ni kinana na rekodi yake tu tena ya huko nyuma.

Tujadili kwa pamoja hii makala.

Naona sasa Kibanda amesikika.
 
kibanda alipaswa muogopa kinana.alishindwa tuu tafsiri ndoto yake juu ya hofu yake kwa magamba na kinana
 
Kolimba alishasema ccm haina dira sera Wala Muelekeo kinana alikuwepo hana jipya Mkapa alishasema sera za ccm hazitekelezeki kibanda amesahau
 
hofu yake si nyingine ndiyo yaliyompata.ni kushindwa tafsiri ndoto tuu na hofu yake.chezea gama.omba Mungu usiitwe gamba hata kwa utani.
 
Sasa ivi ni siasa za kidigital aisee nadhani umeona alivyopotea,Mangula naye anaaminika kwa siasa za hapa Tanzania lakini kwa sasa haijulikani sijui anapajikana wapi!!!
 
Mafisadi ambayo walipewa siku 90 za kujivua Gamba tayari wamefukuzwa?. Ni mabadiliko gani unayosema ww au hiyo biashara ya tembo na kuuza unga?
 
Back
Top Bottom