Absalom Kibanda: Sasa sitaogopa kitu na sina cha kupoteza, nitafichua kila kitu

Absalom Kibanda: Sasa sitaogopa kitu na sina cha kupoteza, nitafichua kila kitu

anaeleze kisa cha kutekwa sasa
~ anasema hakutoka kabisa kazi kuanzia saa 3 mpaka saa 5 kama nadakika hivi

~ akatoka muda huuo kuelekea nyumbani

~ alivyofika geti, alisikia kishindo upande wake wa dereva wakat akipiga oni kuingia ndani ( walivunja kio cha dereva na kio cha nyuma)

~ aliona watu wawili na nyuso zao kabisa... akataharuki sanaa.

Anendelea.......
 
Wakuu mda uu kibanda yupo chanel 10 anaelezea mkasa mzima uliompata..anasema alisikia afande mpige risasi anasema aliona wamevaa makoti marefu na sura zao zilikua wazi
 
An then.........??????

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hii habari ni utukizi/coincidence ama ni nini?
Ludovick apata dhamana

Mtuhumiwa mwenza katika kesi ya kula njama ya kumdhuru mhariri wa Mwananchi inayomkabili Lwakatare ameachiwa huru kwa dhamana leo.
 
Hii habari ni utukizi/coincidence ama ni nini?
Ludovick apata dhamana

Mtuhumiwa mwenza katika kesi ya kula njama ya kumdhuru mhariri wa Mwananchi inayomkabili Lwakatare ameachiwa huru kwa dhamana leo.

ongezea na "Tendwa kuifuta Chadema"
 
ooooh huku kwetu tunayaona maisha katika giza bora....Umeme hakuna
 
Waharifu walitumia utaalam katika kujeruhi ili kumuangamiza kibanda.
Anasema matukio mengi yalitangulia ya kuwadhuru waandishi wa habari kabla yake yeye.

Kibanda anasema alipata kutahadharishwa na mtu toka taasisi nyeti ya taifa hili. Aliambiwa jambo ajiangalie wapi na mtu huyo. Aliambiwa awe makini na getini na mahali anapokunywa.

Wiki 2 kabla aliona gari limepaki la taasisi moja na gari lilimfuata

Kibanda anasema viongozi wengi wa serikali wamekuwa na jitihada za kukwepesha ukweli. Amewaomba wanahabari wasonge mbele ushindi utapatikana. Vyombo vya dola vilihusika kupotesha ukweli.

Amekubali hali iliyompata kama chachu ya kusimamia anayoyaamini. Hata alipokuwa anasita sasa hatakuwa mwoga. Mambo mengi alikuwa anayafikiria sana. Lakini kwa sasa amejijua namna alivyo jasiri tofauti na awali. Hali ya afya yake madaktari walimuona ni jasiri.
Anasema lugha za kishabiki ziliandikwa wengine wakiwahusisha wanasiasa.


Ulimwengu anamuuliza kuhusu upelelezi ulipofikia:
Amepata mawasiliano ya viongozi wa vyombo vya dola kuwa wanalifuatilia hata viongozi wa ulinzi wa usalama wastaafu wanafuatilia. Kitu hiki kinampa faraja. Wameliangalia kama maisha binafsi ya kibanda. Kuna afisa wa jamii alitumwa kumhoji afrika kusini.
Alisema wazi kuwa tukio hilo ni la uhalifu na aliamini kuwa aliumizwa kwa sababu ya msimamo wake kwa masuala mbalimbali kitaifa. Lakini pia alitoa ruhusa kwa vyombo vya dola kufuatia maeneo mengine.

Kibanda akiri kuwa kuna watu wananguvu ambao wanashughulika na jambo hili ili ukweli usibainike ndio maana hata leo hakuna hata mmoja amekamatwa.
 
Ukweli ni kwamba serikali walishiriki ndo mana hata anajiringanisha na Mandela,viongozi wa dola wanapotosha ukweli anazungumza

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom