Absalom Kibanda: Sasa sitaogopa kitu na sina cha kupoteza, nitafichua kila kitu

Absalom Kibanda: Sasa sitaogopa kitu na sina cha kupoteza, nitafichua kila kitu

Anasema yuko imara zaidi,alikuwa muoga sana kabla hajatekwa lakini kwa sasa ni jasiri,haogopi tena kikubwa anasisitiza kuwatia moyo waandishi habari wenzake,analalamika kuna lugha nyingi za kishabiki waandishi wa habari

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Jenerali ulimwengu anauliza upepelezi wake umefikia wapi?-anasema shauri lake bado linachunguza,anasisitiza kwamba wapo viongozi wastaafu wa ulinzi na usalama wanalifuatilia,anasema assistant kamishina wa polisi alitumwa Afrika kusini kuja kuhojiana naye

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Pamoja mkuu, yote chini sawa, ila inauma sana na kwamtazamo wangu.. ni watu walitumwa kama na joka la mdimu vile
 
Anasema Serikali lazima ioneshe inajali na kuchukua hatua katika matatizo haya. Serikali isichukulie matukio haya ya kuteka, kupiga , kung'oa meno na kucha pamoja na mauaji ya wananchi kama ni kitu cha mzahamzaha tu. Leo imetokea kwa Kibanda siku nyingine itakuwa kwa wengine.
 
Anasema gharama za matibabu kipindi anaumwa zilibebwa na kampuni pamoja na jukwaa la wahariri,serikali haukujali

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nipo sehemu napata kinana, nategemea ripoti zenu Wakuu msichoke.

Ila ningependa Leo afunguke zaidi aache ripoti za kisiasa.!!!

Amesema sasa yupo fiti sana zaidi ya zamani na anausisha swala hili na taasisi fulani na mtu fulani ila kufunguka zaidi naona anaogopa kwasababu kesi ipo mahakamani naisi....
 
Inasikitisha' serikali hawakugharimikia matibabu,, kazi waliyoifanya ni uchunguzi...je, angepoteza maisha kwa kukosa huduma ya matibabu uchunguzi ungesaidia nini??
 
Lakini nimuombe tu aseme kila kitu wakati ni huu kwa maana akificha ni kutengeneza bomu kwa wengine ngoja tuone mpaka mwisho wa kipindi kama atafunguka kwa maana ya kufunguka kwani nafasi ni hii gooooooooo absalom kibanda
 
Nipo sehemu napata kinana, nategemea ripoti zenu Wakuu msichoke.

Ila ningependa Leo afunguke zaidi aache ripoti za kisiasa.!!!

Anasema Serikali lazima ioneshe inajali na kuchukua hatua katika matatizo haya. Serikali isichukulie matukio haya ya kuteka, kupiga , kung'oa meno na kucha pamoja na mauaji ya wananchi kama ni kitu cha mzahamzaha tu. Leo imetokea kwa Kibanda siku nyingine itakuwa kwa wengine.
 
Baada ya mkasa uliompata na mateso aliyoyapata,ndugu Kibanda amesema hata ogopa chochote Sasa kwasababu hana cha kupoteza ataandika mabaya yote anayoyajua.
 
Hili swali zuri sana la kupewa second chance-anamlinganisha na ulimboka kauli yake ya namuachia Mungu,kauli amabayo anawavunja moyo wanaharakati wengine

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom