duuh,namuona na kumsikia
ambao mna access ya Channel Ten angalieni...
Nipo sehemu napata kinana, nategemea ripoti zenu Wakuu msichoke.
Ila ningependa Leo afunguke zaidi aache ripoti za kisiasa.!!!
Lakini bado naona anaficha jitu sijaelewa ni woga au ustaarabu
Ulimboka Mwakingwe.