Anaogopa kutaja jina la hiyo "taasisi nyeti..." anaogopa kutaja huyo aliyeambiwa ajitahadharishe nae, anaogopa kutaja chochote halafu anatuambia kuanzia sasa atakuwa jasiri, ataandika kila kitu. Ridiculous.
Okay, sawa, kama hawezi kutaja kwa sababu "patakuwa na impact," whatever the heck that means, basi asitudanganye kwamba kuanzia leo ataanza kusema vitu bila kuogopa.Kwamfano akishataja wewe utafanya nini, ama utamsaidia nini? Labda kuna mahala ambapo yeye anaona akitaja patakuwa na impact. Yani wewe unataka ataje tu, then....
Alishindwa hata kusema ni gari ya taasisi gani kubwa ilikuwa imesimama hapo nje ya ukuta wa nyumba yao,sielewi ana hesabu gani anayoipiga.Sijamuelewa Kibanda ............ anadai haogopi kitu tena wakati interview nzima inaonyesha uoga wa hali ya juu!!
Kibanda mnafiki, kama walivyosema wengine anashindwa nini kutuambia kwamba informer wake toka ofisi ya juu ni nani japo hiyo ofisi tunajua kuwa ni ya DCI Manumba. Anashindwa nini kutambia hiyo gari ya polisi iliyokua imembeba Ludovick ina namba gani mbona Bashe aliitaja? sasa kama kweli mwenyekiti wa Editors forums anaweza kufanyiwa haya na akawa bado muoga hivi hiyo forums yao itaheshimiwa na nani?
Huyu bado mwoga...anasema amefunguka wakati story yake haieleweki. Anamaanisha nini akisema kuna watu wanatumia nguvu sana hili swala la upelelezi lisifanyike? Ni watu gani?Lakini nimuombe tu aseme kila kitu wakati ni huu kwa maana akificha ni kutengeneza bomu kwa wengine ngoja tuone mpaka mwisho wa kipindi kama atafunguka kwa maana ya kufunguka kwani nafasi ni hii gooooooooo absalom kibanda