Pre GE2025 Absolom Kibanda: Sekretariat ya CHADEMA inahusika na Wabunge 19 wa viti maalum CHADEMA

Pre GE2025 Absolom Kibanda: Sekretariat ya CHADEMA inahusika na Wabunge 19 wa viti maalum CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu kigaila na Mwalimu wake zao na mahawara (Agnesta lambert na Esther Matiko) waliapishwa ubunge ina maana mke anafanya process zote hizo mme hajui? Kama walijua mapema kwanini wasingeifikisha CC ili wachukuliwe hatua?

Mimi naamini kabisa hata kama CCM iliandaa huu mpango ila top cream ya chadema walifahamu kilichokua kinaendelea ila wakajikausha.

Lissu ukishinda anza na kigaila afanyiwe interrogation kali mpaka aeleze nani aliwatuma
Kwani Lissu haujui mkanda mzima hadi amfanyie mahojiano Kigaila?

Sema akiingia madarakani, awawajibishe kukisafisha chama na kashifa hiyo ya wazi.
 
Mbowe sio mjinga aache hela za kina mama 19 kisa Lissu. Hao kina mama wakimkatia 1m kila mwezi tayari anakunja 19m kwa mwezi. Ikumbukwe wabunge wote wa CHADEMA huwa wanakatwa kiasi fulani kwenye mishahara yao kukisaidia chama (Mbowe).
 
Huyo Kibanda ni mjinga mkubwa.

Kuweka kumbukumbu sawa tu hapa JF.

1. Mchakato wa kuteua wabunge wa viti maalum ndani ya Chadema ni mrefu sana, uko wazi na uko kikatiba, sahihi pekee ya katibu mkuu haiwezi kuhalalisha chochote ikiwa huo utaratibu haukufanyika.

2. Mchakato wa tume ya uchaguzi kuidhinisha majina ya wateule wa viti maalum kutoka chama husika ni mrefu na umekaa kisheria kwa 100%, hakuna namna Covid 19 wangeweza kuufuata katika mazingira yalivyokuwa. (Kuna mbunge mmoja wa Covid 19 alitolewa gerezani usiku usiku kwa amri ya Magufuli na asubuhi yake akaapishwa)

3. Mchakato wa kuapisha wabunge uko kisheria na umejaa protokali nyingi. Hakuna namna Covid 19 wangeweza kuapishwa kisheria kwa namna mazingira yalivyokuwa. (Covid 19 waliapishwa kwenye garage nje ya ukumbi wa bunge, wakati huo bunge halikuwa na kikao, kwa mchongo wa dharula)

4. Kuweza kughushi saini ya Katibu Mkuu wa Chadema (Mnyika) haihitaji kwanza kuwa mjumbe wa Sekretarieti ya Chadema, hata ukiwa muuza chapati manzese unaweza kufanya hivyo. Kwa kifupi muhuni yoyote anaweza kufanya hivyo, Cheo cha mtu hakina mantiki yoyote na wala hakina uzito wa kuhalalisha au kuweka uzito wa chochote cha kughushi.
Sasa ni nani aliyesuka mpango mzima sasa, ukiachana na hiyo sahihi ghushi?
 
Mbowe sio mjinga aache hela za kina mama 19 kisa Lissu. Hao kina mama wakimkatia 1m kila mwezi tayari anakunja 19m kwa mwezi. Ikumbukwe wabunge wote wa CHADEMA huwa wanakatwa kiasi fulani kwenye mishahara yao kukisaidia chama (Mbowe).
Maria space imeharibu bongo za TL
 
Mkuu kigaila na Mwalimu wake zao na mahawara (Agnesta lambert na Esther Matiko) waliapishwa ubunge ina maana mke anafanya process zote hizo mme hajui? Kama walijua mapema kwanini wasingeifikisha CC ili wachukuliwe hatua?

Mimi naamini kabisa hata kama CCM iliandaa huu mpango ila top cream ya chadema walifahamu kilichokua kinaendelea ila wakajikausha.

Lissu ukishinda anza na kigaila afanyiwe interrogation kali mpaka aeleze nani aliwatuma
Tumechezewa na hawa wahuni kwa muda mrefu. Sasa yatosha. Kumbe ubunge viti maalumu wanawagawia mahawala zao.
 
Watu wanahoji kuwa iweje chini ya uongozi wa Mbowe kunatokea uhuni mkubwa kwenye sekretariat halafu hakuna uchunguzi wala hatua zozote kuchukuliwa?
Uhuni huu ulifanyika kwa baraka za Mbowe ili apate ruzuku, ndiyo maana hakuna hatua zozote zilozochukuliwa.
 
Katika muktadha wa uchaguzi wa mwenyekiti wa Chadema Taifa, wajumbe wa mkutano mkuu wanakabiliwa na maamuzi muhimu yanayoweza kuathiri mustakabali wa chama hiki. Hivi karibuni, kumekuwa na mjadala mzito kuhusu aina ya kiongozi anayefaa kuongoza chama katika kipindi hiki cha changamoto. Wajumbe wanahitaji mgombea ambaye ni mwasiasa, si mwanaharakati, ili kuweza kuimarisha siasa za chama na kukabiliana na matatizo ya kisiasa yanayolikabili taifa.

Wakati wa uchaguzi huu, ni muhimu kuelewa tofauti kati ya mwanasiasa na mwanaharakati. Mwanasiasa anajitahidi kutafuta mbinu na mikakati ya kisiasa inayoweza kuleta mabadiliko chanya katika jamii, huku akitafuta njia za kushirikiana na wadau mbalimbali katika uwanja wa siasa. Kwa upande mwingine, mwanaharakati anajikita zaidi katika harakati za ukombozi, akilenga kuleta mabadiliko kupitia mapambano ya moja kwa moja dhidi ya mfumo uliopo. Hii ni tofauti kubwa ambayo wajumbe wa mkutano wanapaswa kuzingatia katika uchaguzi wao.

Tukichunguza majina mawili yanayojitokeza katika uchaguzi huu, Tundu Lissu na Freeman Mbowe, ni wazi kwamba kila mmoja anawakilisha aina tofauti ya uongozi. Lissu amejijengea sifa ya kuwa mwanaharakati mwenye msimamo thabiti katika masuala ya haki za binadamu na demokrasia. Hata hivyo, siasa za mwanaharakati mara nyingi zinaweza kuonekana kama za kukabiliana na mfumo, badala ya kujaribu kuujenga na kuuboresha. Wakati huu, wanachama wa Chadema wanahitaji mtu ambaye anaweza kuhamasisha umoja na ushirikiano, si mtu anayepigana vita vya kisiasa pekee.

Katika upande wa Mbowe, yeye anajulikana kama mwanasiasa mwenye uzoefu wa muda mrefu katika siasa za Tanzania. Mbowe anajua jinsi ya kuendesha siasa na kuujenga chama katika mazingira magumu. Kuweka kando tofauti za kisiasa, Mbowe anaweza kuwa kiongozi ambaye anaweza kuleta umoja na kuelekeza chama katika njia sahihi ya kisiasa. Katika wakati wa mgawanyiko na changamoto za kisiasa, ni muhimu kuwa na kiongozi ambaye anaweza kuleta ushirikiano na kuelekeza juhudi za chama katika kujenga mustakabali bora.

Wajumbe wa mkutano mkuu wanapaswa kuelewa kwamba wakati huu wa uchaguzi, siasa zinazohitajika ni zile zinazoweza kuleta maendeleo kwa chama na kwa jamii nzima. Wanachama wanahitaji siasa zinazoweza kuleta mafanikio na siasa ambazo zinaweza kuimarisha ushawishi wa chama katika jamii. Kiongozi anayejikita katika siasa atakuwa na uwezo wa kujenga na kudumisha uhusiano mzuri na wadau mbalimbali, ikiwa ni pamoja na serikali, mashirika yasiyo ya kiserikali, na jamii kwa ujumla.

Aidha, ni muhimu kufahamu kwamba siasa si tu kuhusu kushinda uchaguzi, bali pia ni kuhusu kujenga mazingira bora ya kuishi na kufanya kazi. Wanachama wanahitaji kiongozi ambaye ataweza kuangalia maslahi ya chama kwa ujumla, badala ya kujikita katika masuala binafsi au ya kikundi fulani. Mbowe, akiwa na uzoefu wa kisiasa, anaweza kuwa na uwezo wa kujenga mazingira hayo na kuimarisha nafasi ya chama katika siasa za nchi.

Katika hali hii, wajumbe wa mkutano wanapaswa kuzingatia umuhimu wa kuwa na kiongozi ambaye ataweza kuhimiza siasa za maendeleo, badala ya siasa za ukombozi pekee. Wanachama wanahitaji mtu ambaye ataweza kubuni mikakati ya kisiasa itakayowezesha chama kuendelea kuwa na mvuto katika jamii na kuongeza ushawishi wake katika masuala ya kitaifa. Hii itasaidia Chadema kuwa na nafasi imara katika siasa za Tanzania na kuweza kushiriki katika maamuzi yanayohusu mustakabali wa nchi.

Kwa kumalizia, wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema wanahitaji kufikiria kwa makini kuhusu uchaguzi wa mwenyekiti. Wanahitaji kiongozi ambaye ni mwasiasa, sio mwanaharakati, ili kuweza kuimarisha siasa za chama na kukabiliana na changamoto za kisiasa.

Wakati huu, Mbowe anaonekana kuwa na uwezo wa kuleta mabadiliko chanya na kujenga umoja katika chama, wakati Lissu anahitaji kuzingatia zaidi harakati za ukombozi. Chaguo sahihi litasaidia Chadema kuendelea kuimarika na kuwa na sauti yenye nguvu katika siasa za Tanzania.
 
Mbowe sio mjinga aache hela za kina mama 19 kisa Lissu. Hao kina mama wakimkatia 1m kila mwezi tayari anakunja 19m kwa mwezi. Ikumbukwe wabunge wote wa CHADEMA huwa wanakatwa kiasi fulani kwenye mishahara yao kukisaidia chama (Mbowe).
Mbowe ni hatari, anacho vuna chadema, hata mawaziri hawa mpati, ndio maana hataki mchezo na uenyekiti, kudadeki.
 
Huyo Kibanda ni mjinga mkubwa.

Kuweka kumbukumbu sawa tu hapa JF.

1. Mchakato wa kuteua wabunge wa viti maalum ndani ya Chadema ni mrefu sana, uko wazi na uko kikatiba, sahihi pekee ya katibu mkuu haiwezi kuhalalisha chochote ikiwa huo utaratibu haukufanyika.

2. Mchakato wa tume ya uchaguzi kuidhinisha majina ya wateule wa viti maalum kutoka chama husika ni mrefu na umekaa kisheria kwa 100%, hakuna namna Covid 19 wangeweza kuufuata katika mazingira yalivyokuwa. (Kuna mbunge mmoja wa Covid 19 alitolewa gerezani usiku usiku kwa amri ya Magufuli na asubuhi yake akaapishwa)

3. Mchakato wa kuapisha wabunge uko kisheria na umejaa protokali nyingi. Hakuna namna Covid 19 wangeweza kuapishwa kisheria kwa namna mazingira yalivyokuwa. (Covid 19 waliapishwa kwenye garage nje ya ukumbi wa bunge, wakati huo bunge halikuwa na kikao, kwa mchongo wa dharula)

4. Kuweza kughushi saini ya Katibu Mkuu wa Chadema (Mnyika) haihitaji kwanza kuwa mjumbe wa Sekretarieti ya Chadema, hata ukiwa muuza chapati manzese unaweza kufanya hivyo. Kwa kifupi muhuni yoyote anaweza kufanya hivyo, Cheo cha mtu hakina mantiki yoyote na wala hakina uzito wa kuhalalisha au kuweka uzito wa chochote cha kughushi.
Mbowe na Mnyika wanahusika moja kwa moja kuwapeleka covid 19 bungeni!..

We hujiulizi inakuwaje wake wa vigogo wa chadema ni miongoni mwa hao covid 19?
Chadema chini ya Mbowe ni genge la wahuni wametuchezea sana watz hasa wapinzani
 
Mkuu kigaila na Mwalimu wake zao na mahawara (Agnesta lambert na Esther Matiko) waliapishwa ubunge ina maana mke anafanya process zote hizo mme hajui? Kama walijua mapema kwanini wasingeifikisha CC ili wachukuliwe hatua?

Mimi naamini kabisa hata kama CCM iliandaa huu mpango ila top cream ya chadema walifahamu kilichokua kinaendelea ila wakajikausha.

Lissu ukishinda anza na kigaila afanyiwe interrogation kali mpaka aeleze nani aliwatuma
Akili zimewarudi sasa ee?

Mbona haya tulikuwa tunawaambia kila siku mkawa mnatuita sukuma gang?
 
Katika hali inayoonyesha usanii mkubwa wa uongozi chini ya Mwenyekiti Mbowe, Aliyewahi kuwa mhariri wa gazeti la Tanzania Daima ndugu Absolom Kibanda, ameongea na Watanzania kupitia katika mtandao wa Clubhouse kuwa Kuna watu ndani ya sekretariat ya CHADEMA walifanya uhuni na kughushi saini ya Katibu mkuu Mnyika na kupeleka majina ya akina mama 19 katika mamlaka za serikali ili wawe wabunge.

Katika maelezo yake, Kibanda alimtetea Katibu Mkuu Mnyika kuwa hahusiki na ishu hiyo ila alizunguukwa na wahuni wachache ndani ya sekretatiat kwenye ishu hiyo.

Ifahamike kuwa miongoni mwa wanaouunda Sekreatariat ya CHADEMA ni manaibu makatibu wakuu wawili wa Bara (Benson Kigaila) na yule wa Zanzibar (Salum Mwalimu). Wote hawa wake/wapenzi wao ni miongoni mwa hao akina mama 19. Hata hivyo Kibanda hakutaja jina la yeyote kati ya hao kuwa ndiyo wanahusika.

Wiki iliyopita ndugu Lissu aliulizwa kuhusu wajumbe hao wa sekretariat kuwa na mke/wapenzi katika wale akina mama 19 walioingia bungeni kimagumashi, kwamba kwa nini wasiwekwe pembeni. Lissu akajibu kuwa kufanya hivyo ni kinyume cha katiba ya chama. Akasema kuwa kwenye chama mtu haingii kama bibi na bwana, bali kila mtu anaingia yeye kama yeye. Akasema kwa mujibu wa kanuni na katiba ya chama, mtu hawezi kuadhibiwa eti kwa sababu mke/mpenzi wake amekikosea chama.

Watu wanahoji kuwa iweje chini ya uongozi wa Mbowe kunatokea uhuni mkubwa kwenye sekretariat halafu hakuna uchunguzi wala hatua zozote kuchukuliwa? Je, ni reforms zipi Mbowe atazileta kama anashindwa kusafisha sehretariat yake?. Ifahamike kuwa dhamana ya kutengeneza sekretariat iko mikononi mwa Mwenyekiti. Kwa nini hasafishi sekretariat yake?
Kila siku kunaibuka jipya ndani ya Chadema
 
Back
Top Bottom