Pre GE2025 Absolom Kibanda: Sekretariat ya CHADEMA inahusika na Wabunge 19 wa viti maalum CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Na Ndugai akamfichia siri kwa sababu anaipenda sana Chadema? Wakati mwingine muwe na aibu.

Amandla...
 
Akili zimewarudi sasa ee?

Mbona haya tulikuwa tunawaambia kila siku mkawa mnatuita sukuma gang?
Dah acha tu, huyu tapeli wa kichagga tulimuamini sana hatukujua ni mjasiriamali wa kisiasa
 
Nimesoma hadi hapo kwenye jina la Benson Kigaila nikaishia hapo, nikaamua kuendelea na shuhuli zingine.
Adios.
 
K
Kwa hivyo walimwambia Tulia asiwatoe bungeni? Mahakamani jee pia kamati kuu iliwaambia majaji? Hii cloud house ndio ilimbobomoa Lissu akili. Maria sio mtu mwema kabisa
Team Lisu hawaelewi wao wanataka Lisu awe Mwenyekiti hata kama hatoshinda, ukiwauliza maswali, hawakupi majibu, ila watakwambia Lisu kasema...!

Yani vijana wenye mihemko, wamejijaza mitandaoni kuandika chochote kile. Sasa hivi wako desparate sana, hawatumii uwezo wao kuchambua hoja tena, kila kitu Lisu Kasema.
 
Ccm imejaa mapumbavu ndio maana bila polis hata kitongoji hampati.
 
Katika hali inayoonyesha usanii mkubwa wa uongozi chini ya Mwenyekiti Mbowe, Aliyewahi kuwa mhariri wa gazeti la Tanzania Daima ndugu Absolom Kibanda, ameongea na Watanzania kupitia katika mtandao wa Clubhouse kuwa Kuna watu ndani ya sekretariat ya CHADEMA walifanya uhuni na kughushi saini ya Katibu mkuu Mnyika na kupeleka majina ya akina mama 19 katika mamlaka za serikali ili wawe wabunge.

Katika maelezo yake, Kibanda alimtetea Katibu Mkuu Mnyika kuwa hahusiki na ishu hiyo ila alizunguukwa na wahuni wachache ndani ya sekretatiat kwenye ishu hiyo.

Ifahamike kuwa miongoni mwa wanaouunda Sekreatariat ya CHADEMA ni manaibu makatibu wakuu wawili wa Bara (Benson Kigaila) na yule wa Zanzibar (Salum Mwalimu). Wote hawa wake/wapenzi wao ni miongoni mwa hao akina mama 19. Hata hivyo Kibanda hakutaja jina la yeyote kati ya hao kuwa ndiyo wanahusika.

Wiki iliyopita ndugu Lissu aliulizwa kuhusu wajumbe hao wa sekretariat kuwa na mke/wapenzi katika wale akina mama 19 walioingia bungeni kimagumashi, kwamba kwa nini wasiwekwe pembeni. Lissu akajibu kuwa kufanya hivyo ni kinyume cha katiba ya chama. Akasema kuwa kwenye chama mtu haingii kama bibi na bwana, bali kila mtu anaingia yeye kama yeye. Akasema kwa mujibu wa kanuni na katiba ya chama, mtu hawezi kuadhibiwa eti kwa sababu mke/mpenzi wake amekikosea chama.

Watu wanahoji kuwa iweje chini ya uongozi wa Mbowe kunatokea uhuni mkubwa kwenye sekretariat halafu hakuna uchunguzi wala hatua zozote kuchukuliwa? Je, ni reforms zipi Mbowe atazileta kama anashindwa kusafisha sehretariat yake?. Ifahamike kuwa dhamana ya kutengeneza sekretariat iko mikononi mwa Mwenyekiti. Kwa nini hasafishi sekretariat yake?
Inazidi kunyesha.
 
Chama kinatoa usaha

Kimeoza
 
Mbowe sio mjinga aache hela za kina mama 19 kisa Lissu. Hao kina mama wakimkatia 1m kila mwezi tayari anakunja 19m kwa mwezi. Ikumbukwe wabunge wote wa CHADEMA huwa wanakatwa kiasi fulani kwenye mishahara yao kukisaidia chama (Mbowe).
Corrupt
 
Ccm imejaa mapumbavu ndio maana bila polis hata kitongoji hampati.
Vipanga wa Team Lisu, mnashinda kila siku kila kitongoji mnaongoza nyie hahaha. Sijui mmerogwa na nani. Yani kila asiye kubaliana nayie kuhusu Lisu ni CCM.

Sioni sababu ya Lisu kuwa mwenyekiti chadema, aondoke na nyomi lake mkaanzishe chama huko.
 
Naona mchimba kisima kaingia mwenyewe

Yale mautumbo ya Tuhuma yooote sasa mbamalizana

Njooni in a future tunuse Makwaia yetu
 
Katika hali inayoonyesha usanii mkubwa wa uongozi chini ya Mwenyekiti Mbowe, Aliyewahi kuwa mhariri wa gazeti la Tanzania Daima ndugu Absolom Kibanda, ameongea na Watanzania kupitia katika mtandao wa Clubhouse kuwa Kuna watu ndani ya sekretariat ya CHADEMA walifanya uhuni na kughushi saini ya Katibu mkuu Mnyika na kupeleka majina ya akina mama 19 katika mamlaka za serikali ili wawe wabunge.

Katika maelezo yake, Kibanda alimtetea Katibu Mkuu Mnyika kuwa hahusiki na ishu hiyo ila alizunguukwa na wahuni wachache ndani ya sekretatiat kwenye ishu hiyo.

Ifahamike kuwa miongoni mwa wanaouunda Sekreatariat ya CHADEMA ni manaibu makatibu wakuu wawili wa Bara (Benson Kigaila) na yule wa Zanzibar (Salum Mwalimu). Wote hawa wake/wapenzi wao ni miongoni mwa hao akina mama 19. Hata hivyo Kibanda hakutaja jina la yeyote kati ya hao kuwa ndiyo wanahusika.

Wiki iliyopita ndugu Lissu aliulizwa kuhusu wajumbe hao wa sekretariat kuwa na mke/wapenzi katika wale akina mama 19 walioingia bungeni kimagumashi, kwamba kwa nini wasiwekwe pembeni. Lissu akajibu kuwa kufanya hivyo ni kinyume cha katiba ya chama. Akasema kuwa kwenye chama mtu haingii kama bibi na bwana, bali kila mtu anaingia yeye kama yeye. Akasema kwa mujibu wa kanuni na katiba ya chama, mtu hawezi kuadhibiwa eti kwa sababu mke/mpenzi wake amekikosea chama.

Watu wanahoji kuwa iweje chini ya uongozi wa Mbowe kunatokea uhuni mkubwa kwenye sekretariat halafu hakuna uchunguzi wala hatua zozote kuchukuliwa? Je, ni reforms zipi Mbowe atazileta kama anashindwa kusafisha sehretariat yake?. Ifahamike kuwa dhamana ya kutengeneza sekretariat iko mikononi mwa Mwenyekiti. Kwa nini hasafishi sekretariat yake?
Nani anamuamini Kibanda?
 
Back
Top Bottom