Hakika !Mimi sio kuwa naichukia Chadema, ila kutegemea mapinduzi ya kweli chini ya Mbowe ni kupoteza muda. Mbowe yeye huwaza pesa tu, yuko tayari hata aende gerezani kuzuga na kuwa chota akili wafuasi wake, chadema kwake ni biashara, kipato. Hizo zote za covid 19 ilikuwa ni zuga tu, ohh serikali u dictator, ohh msajiri wa vyama kwapeleka, ohh hatuwa tambui, blablabla kibao, at the end yeye ana piga pesa. Shikamoo Mbowe, wajinga ndo waliwao.