Pre GE2025 Absolom Kibanda: Sekretariat ya CHADEMA inahusika na Wabunge 19 wa viti maalum CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hakika !
 
Kigaila amekaa kitapeli na kichawi kabisa
 


Uadilifu unatakiwa kuanzia ndani ya chama kabla ya kushika dola.


Uovu wa CCM na serikali yake ulianzia ndani ya chama taratibu na ukawa ni mfumo wa mafisadi na ukazieleka.

Sasa Chadema ikimrudisha Mbowe kwa maslahi ya wajumbe wachache basi ni wazi kuwa Chadema imefeli sana na itakua ndio mwisho wa chama hicho kuaminiwa .

CCM pamoja na uhuni wake lakini wakahakikisha Mwenyekiti hakai madarakani zaidi ya miaka kumi na hawajawahi kubadili katiba kwa ajili ya maslahi binafsi.
 


CCM hawahusiki kwenye huu usanii.


Wabunge 19 kila mmoja akipeleka laki tano ni ml. 9.5 kwa mwezi .
Mbowe alitengeneza mfumo mbaya sana unapendekeza na kurasimisha ruswa
 
Si usaniii Mzee ukiwa mwasiasa unaangalia uhai wako na maisha Yako pia, Dola inaweza amua chochote juu Yako so ni wewe uamue kusuka au kunyoa,ogopa
1.Mungu.
2.Serikali
3.Njaa
 
Hapo kwa wapenzi iko wazi, Salum Mwalimu kamfanya Ester Matiko kama mke wake, ni umalaya na uchafu mtupu..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…