Ac Milan: Miamba ya Soka iliyotikisa Ulaya miaka ya 2000

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Unaikumbuka Rossoneri hii iliyoiua Kibebe Kizee cha Turin, Juventus katika Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mwaka 2003 katika dimba la Old Trafford. Hiki ni moja ya vikosi vilivyosumbua sana Ulaya chini ya Jemedari Carlo Ancelotti. Yupi alikuwa mchezaji wako kivutio hapo?
football-uefa-champions-league-final-manchester-england-28th-may-2003-picture-id78989845
 
Siku hiyo Nedved(spelling) alikosa hiyo game baada ya kulimwa kadi ya pili ya njano kwenye nusu fainali. Kwa hoa waliopo hapo kwenye pic Sheva ndio nyoko.
 
Unaikumbuka Rossoneri hii iliyoiua Kibebe Kizee cha Turin, Juventus katika Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mwaka 2003 katika dimba la Old Trafford. Hiki ni moja ya vikosi vilivyosumbua sana Ulaya chini ya Jemedari Carlo Ancelotti. Yupi alikuwa mchezaji wako kivutio hapo?
football-uefa-champions-league-final-manchester-england-28th-may-2003-picture-id78989845
Alesandro del piero,Alesandro Nesta,Demetrio Albertini,Paolo Maldini,Clarence seedof,Dida,Genaro Gatusso,
 
Unaikumbuka Rossoneri hii iliyoiua Kibebe Kizee cha Turin, Juventus katika Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mwaka 2003 katika dimba la Old Trafford. Hiki ni moja ya vikosi vilivyosumbua sana Ulaya chini ya Jemedari Carlo Ancelotti. Yupi alikuwa mchezaji wako kivutio hapo?
football-uefa-champions-league-final-manchester-england-28th-may-2003-picture-id78989845
hyo njemba gattuso ilikuwa kiungo mkabaji hatari sana nlipenda agression moves zake na agility
 
Unaikumbuka Rossoneri hii iliyoiua Kibebe Kizee cha Turin, Juventus katika Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mwaka 2003 katika dimba la Old Trafford. Hiki ni moja ya vikosi vilivyosumbua sana Ulaya chini ya Jemedari Carlo Ancelotti. Yupi alikuwa mchezaji wako kivutio hapo?
football-uefa-champions-league-final-manchester-england-28th-may-2003-picture-id78989845
Paul Maldini
 
Kutoka kushoto waliosimama;
El Capitano Paolo Maldini, Dida, Shevchenko, Kakha Khaladze, Seedorf, Nesta.

Waliochuchumaa kutoka kushoto;
Inzaghi, Rino Gattuso, Andrea Pirlo ( The Brain of Milan ), Alessandro Costacurta na Rui Costa ( Maestro ).

Hakuna aliyetoka salama pale Sansiro wakati kikosi hiki kikiwa katika ubora wake. Kuna nyakati Ac Milan hii ilikuwa na Beki bora wa Ulaya, Kipa bora wa Ulaya, Mshambuliji bora wa Ulaya.

Leo hii licha ya uwekezaji mkubwa, Ac Milan bado inachechemea na wala haitishi kabisa.
 
Mkuu soka la italia sijui limekumbwa na pepo gani?! Kama ilivyo kwa sasa spain wachezaji bara ulaya walikuwa wakitokea serie A. Gang Chomba tafadhali pita hapa.

Wachezaji wote bora walikuwa wakicheza italia. Kuanzia kina Gullit, mpaka George Weah. Msururu ni mtefu dah sheeeder kweli
 
Back
Top Bottom