Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Hahahaha kweli dunia haiishi vitukoooo kwahiyo mzee kabisa unaenda kutafuta nyuzi zangu na kuzileta hahahaha unapata kabisa mda wa kusaka nyuzi za mtu usiemjua sura humu jamii forum yaani upo serious kabisaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Naleta nyuzi zako coz kukuweka sawa uache kujiongopea,
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.