Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Nilichogundua wewe unamatatizo ya afya ya akili yaani kama zimepungua Kila siku unafuatimia mtu ambaye Hana mda na wewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Naona unajipa matumaini hewa,masikini wa mwisho wewe.
Naishi kwenye Nyumba ya kupanga mwenye nyumba alifariki ghafla na ndugu hawaijui hii nyumba
Wakuu naishi kwenye nyumba ya kupanga na familia yangu yenye vyumba vinne na Kila kitu quality kuanzia aluminum mpaka tiles nyumba ni nzuri sana mwenye nyumba alifariki ghafla mwezi wa 4 mpaka Leo mwezi wa 12 nakaa bure naona kama hii ni bahati kutoka Kwa mungu nyumba ya bure sababu nilisikia...www.jamiiforums.com